Uwongo umeniponza

Uwongo umeniponza

jamani ungemficha mpaka lini kuwa una watoto? mvumilie km akupenda kweli hasira zkipungua mtaongea yataisha!jaribu kuwa mpole!af kama unasiri nyingine jisalimishe mapemaaa kabla hujakatwa naniliu,unacheza na wachagaeee,pole
 
Kumbe ukicheza na wachagga unakatwa naniliu? Sikujua
 
Back
Top Bottom