Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alio ama kuolewaDogo Janja toka ameoa yaan ndio ana kuwa na mambo ya ajabu ajabu zaid.
Sjajua nani alo mroga
mkuu pesa "" biashara ya media kwa sasa bila yakufnya hayo mavituko lazima ufe na njaa hahaa ...so wanajkuta wanalazimika kuwa watumwa wa fikra ili waendelee kubaki midomoni mWa watuDogo Janja toka ameoa yaan ndio ana kuwa na mambo ya ajabu ajabu zaid.
Sjajua nani alo mroga
kabisaHuyu dogo anatuaibisha machalii wa chuga
Anza na mkeweDogo Janja toka ameoa yaan ndio ana kuwa na mambo ya ajabu ajabu zaid.
Sjajua nani alo mroga
[emoji23]Anza na mkewe
View attachment 712836huyu kima sasa hivi watamtoboa parachichi mjini hapa.....
haya mambo kuyajadili mwisho 2017 hawasikiiDogo Janja toka ameoa yaan ndio ana kuwa na mambo ya ajabu ajabu zaid.
Sjajua nani alo mroga
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo janja ambaye sasa hivi ameachia video ya wimbo wake mpya wa 'Wayu wayu' na kuacha gumzo kwa mashabiki kwa kuvaa uhusika wa mwanamke, na kusema kuwa mke wake ndiye alimfanya awe hivyo.
Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dogo Janja amesema mke wake ambaye ni muigizaji wa filamu za bongo, Irene Uwoya, ndiye alianza kumfanyia make up wakiwa mapumzikoni Zanzibar, na kumvalisha vitu vya kike, ndipo walipopata idea ya kufanya video akiwa kama mwanamke.
“Mke wangu kabla sijaanza kushoot alianza kunifanyia make up na kunivesha vesha tulipokuwa vacation (mapumzikoni) Zanzibar, akawa ananicheka, mpaka siku tunaenda kushoot ile make up ilibidi anifanyie yeye lakini ilitokea dharula hakuwepo, akaniambia niende kwa mtu anifanyie make up ya nude mimi hata siijui, hata lile wigi alinipa mke wangu na mimi nikapita nalo”, amesema Dogo Janja.
Kitendo cha Dogo Janja kuigiza kama mwanamke kimeonekana kuwakwaza watu wengi wakisema sio kitu kizuri mwanaume kuvaa hivyo na kujipodoa kama mwanamke, lakini kwa upande wake amesema ilikuwa ni ubunifu kwa lengo la kuboresha kazi.
Muungwana