Uwoya amnyima penzi dogo janja tangu Ndiku afe.

Uwoya amnyima penzi dogo janja tangu Ndiku afe.

Kwa habari za kunyapia nyapia ni kwamba Irene Pancras Uwoya (Sheila Abdul) aanza kumchukia dogo janja kiasi cha kuyumbisha penzi lao na mbaya zaidi amekuwa akimnyima penzi dogo janja na mara nyingi hupenda kumkwepa kwepa janjaro na kiasi fulani anahisi kama janjaro ndo chanzo cha mumewe kipenzi Hamadi Kataut.

Dogo janja mara kwa mara akitafutwa kujibu suala hili la kunyimwa penzi na uwoya amekuwa akibabaika sana na muda mwengine hupenda kujibu nje ya mada ili asiendelee kuulizwa.
Kufuatilia fuatilia ndoa ya mwanamme mwenzako utaolewa na wewe uwe mke wa pili ukampe unyumba huyo dogo janja mke wake wa kwanza akisusa.
 
Mama dogo ndio atambue uzuri wa kuoa lijimama
 
We jike au dume, kwanini unafuatilia maisha ya watu? Wenzio tunasaka hela ili tuende sawa na huu usawa wa magu, mwenzetu unafuatilia ndoa za watu! Dogo acha hizo kwani hizo zilipendwa!
 
We jike au dume, kwanini unafuatilia maisha ya watu? Wenzio tunasaka hela ili tuende sawa na huu usawa wa magu, mwenzetu unafuatilia ndoa za watu! Dogo acha hizo kwani hizo zilipendwa!
Umefuata nini celebrities forum?
 
Mwanaume kuwa mmbeya mmbeya haipendezi mkuu.
 
Back
Top Bottom