Pre GE2025 UWT: Tundu Lissu zungumza na Rais kwa staha, vinginevyo...

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kuhusu kauli ya Lissu soma > Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa UWT taifa, Mary Chatanda Jumanne Februari 4,2025 jijini Dodoma wakati wa Kongamano la Wanawake kuelekea maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Amesema UWT ni jeshi kubwa hivyo mtu yeyote atakayetaka kupambana na Rais Samia ajipange, na amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumia lugha za staha wanapotaka maridhiano kwa jambo lolote na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Huyu alikuwa barmaid apuuzwe tu
 
Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais Samia

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa UWT taifa, Mary Chatanda Jumanne Februari 4,2025 jijini Dodoma wakati wa Kongamano la Wanawake kuelekea maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kuhusu kauli ya Lissu soma > Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa UWT taifa, Mary Chatanda Jumanne Februari 4,2025 jijini Dodoma wakati wa Kongamano la Wanawake kuelekea maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Amesema UWT ni jeshi kubwa hivyo mtu yeyote atakayetaka kupambana na Rais Samia ajipange, na amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumia lugha za staha wanapotaka maridhiano kwa jambo lolote na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ni mwendo wa mipasho plus kutetea ugali mapema
 
Nakumbuka CCM siku CHADEMA waliposema "No reform No election " CCM wakasema CHADEMA wanataka kuanzisha vurugu.

Hawa wanaosema watapambana watapambanaje? Huwezi Kuta Hawa wanaambiwa na Polisi kuwa "wasijitoe ufahamu".
 
Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kuhusu kauli ya Lissu soma > Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa UWT taifa, Mary Chatanda Jumanne Februari 4,2025 jijini Dodoma wakati wa Kongamano la Wanawake kuelekea maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Amesema UWT ni jeshi kubwa hivyo mtu yeyote atakayetaka kupambana na Rais Samia ajipange, na amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumia lugha za staha wanapotaka maridhiano kwa jambo lolote na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mbona uharo unawabana kabla ya muda
 
Back
Top Bottom