Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alikuwa barmaid apuuzwe tu
BAWACHA wajibu mapigoUmoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kuhusu kauli ya Lissu soma > Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa UWT taifa, Mary Chatanda Jumanne Februari 4,2025 jijini Dodoma wakati wa Kongamano la Wanawake kuelekea maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Amesema UWT ni jeshi kubwa hivyo mtu yeyote atakayetaka kupambana na Rais Samia ajipange, na amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumia lugha za staha wanapotaka maridhiano kwa jambo lolote na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mama wa uwt wakati wa kurudi Ludewa ukalime viazi unakaribia. Mwache Lissu afanye yake!Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kuhusu kauli ya Lissu soma > Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa UWT taifa, Mary Chatanda Jumanne Februari 4,2025 jijini Dodoma wakati wa Kongamano la Wanawake kuelekea maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Amesema UWT ni jeshi kubwa hivyo mtu yeyote atakayetaka kupambana na Rais Samia ajipange, na amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumia lugha za staha wanapotaka maridhiano kwa jambo lolote na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ewaaaaa wengi hawajui tu!Huyu alikuwa barmaid apuuzwe tu
Hao wote wa UWT hawana chochote wala lolote lile, hawana hata ndoa KAZI kueneza UTI kwa Vijana tuUmoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kuhusu kauli ya Lissu soma > Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa UWT taifa, Mary Chatanda Jumanne Februari 4,2025 jijini Dodoma wakati wa Kongamano la Wanawake kuelekea maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Amesema UWT ni jeshi kubwa hivyo mtu yeyote atakayetaka kupambana na Rais Samia ajipange, na amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumia lugha za staha wanapotaka maridhiano kwa jambo lolote na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mabarmaid mna solidarity kweli kweli, sikujua kumbe na wewe ni mfungua vizibo.Wa kupuuzwa ni wewe usiye na heshmu
Barmaid ni kazi kama wewe ulivyo naa yako
Usidharau kazi za wengine
Mabarmaid mna solidarity kweli kweli, sikujua kumbe na wewe ni mfungua vizibo.