UWT yalaani vikali BAWACHA kuchoma vitenge vyenye picha ya Rais Samia, yasema ni upuuzi na utoto mkubwa

Chama kinaongozwa na wapuuzi waliofeli elimu ya sekondari unategemea miujiza kweli,ukiwiza walichokifanya watakuambia ni nguvu ya umma?🙆‍♂️🙆‍♂️
Wanatia aibu sana BAWACHA.
 
Badala ya kulaani mauaji na utekaji wa raia wao wanalaani vitenge kuchomwa- hii nchi chawa wamekuwa ni wengi kuliko wazalendo.
Umesoma maandiko ya Dkt Slaa juu ya Nyuma ya Pazia ya CHADEMA?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika.

Imelaani vikali sana na kwa nguvu zote hatua za Baraza la wanawake wa CHADEMA ambalo kiuhalisia halina ushawishi wa aina yoyote ile hapa Nchini wala kujulikana majukumu yake wala kazi yake wala msimamo wake wala shughuli yake kuu wala mchango wake kwa wanawake wa Tanzania. Hatua yake ya kuchoma Vitenge Vyenye picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Tamko hilo lililotolewa na Mwenyekiti wake Mama Marry Chatanda limekiita kitendo hicho cha kipuuzi na kitoto sana . Lakini pia jumuiya hiyo ya wanawake wa CCM yenye wanachama zaidi ya Millioni Sita imesema madai yote ya Bawacha ni ya uongo,hayana ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.kwa kuwa kila mtu anafahamu kazi kubwa iliyofanywa na Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Ikiwepo ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya mia tatu ambavyo hata Bawacha wanakwenda kupata huduma, kupandisha Bejeti ya kilimo na mambo mengine mbalimbali yakiwepo ya ajira kwa vijana, miundombinu ,Elimu, Umeme n.k.Imesema pia kuwa vitenge hivyo walinunua wenyewe BAWACHA kutokana na imani yao kubwa kwa Rais Samia. Amevitaka vyombo vya dola kuwaacha na kutowakamata na badala yake watapambana nao kisiasa.maana wanajuwa kuwa wanataka wapate promo kwa kukamatwa.

Amegusia pia mbinu za CHADEMA ambazo zimekuwa zikifanywa za vitendo vya kihalifu ,vurugu na utekaji kama ambavyo zilielezwa na dkt Slaa katika kile kinachoitwa Nyuma ya Pazia. Mwenyekiti huyo shupavu na ambaye amekuwa mwimba Mkali kwa Bawacha hii Dhaifu amesema kwa sasa wanakwenda site kwa kishindoo.ikumbukwe ya kuwa UWT ndio huamua hata ushindi wa Mgombea Urais kutokana na uwingi wake wa wanachama ,ushawishi wake pamoja na kujitokeza kwake kwa wingi katika kupiga kura katika kila uchaguzi.

Lakini pia amesema BAWACHA wasiishie tu kuchoma Vitenge bali waeleze ni vipi mkutano huo ulifanikiwa kufanyika
View attachment 3112387

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni hasira ya kutopatikana suluhisho kwa suala la watekaji na wauaji. Hasira itasababisha mengi zaidi maana wamewapoteza wapendwa wao. Washauri inawatetea kutatua shida ya utekaji na mauaji na kuwarudisha waliotekwa.
 
Hao wananchi wana tofauti na hao waliowaona BAWACHA watu wa maana?

Maana BAWACHA NA UWT Wote ni wananchi na wana watu nyuma yao.
We ni mwehu sijui darasa la ngapi ulifika
Bawacha hawana watu wenye akili Timamu na wanaojitambua wanaoweza kuwaunga mkono.ndio maana unaona wamepuuzwa na kudharaulika sana kwa watanzania
 
Ni hasira ya kutopatikana suluhisho kwa suala la watekaji na wauaji. Hasira itasababisha mengi zaidi maana wamewapoteza wapendwa wao. Washauri inawatetea kutatua shida ya utekaji na mauaji na kuwarudisha waliotekwa.
Ni hasira za kukosa ushawishi na uungwaji mkono kutoka kwa watanzania hususani wanawake wenzao.ndio maana wanafanya vitendo hivyo vya kijinga visivyo waongezea kitu chochote kile.
 
Katika siku za hivi karibuni, tamko la Umoja wa Wananchi Tanzania (UWT) kuhusu utekaji, mauaji, na watu kupotea limeibua mijadala mikali katika jamii. Ingawa lengo la tamko linaweza kuonekana kuwa na nia njema, ni muhimu kuzingatia ukweli na hali halisi zinazohusiana na masuala haya. Katika andiko hili, nitapinga tamko hilo kwa kuangazia mambo kadhaa muhimu.

Kwanza: Uhalisia wa Utekaji na Mauaji

Tamko la UWT linaweza kuonekana kama jitihada za kukabiliana na uhalifu, lakini linapuuzilia mbali ukweli kwamba vitendo vya utekaji na mauaji havikabiliwi kwa njia sahihi. Kwa mfano, kuna tuhuma nyingi kuhusu kushindwa kwa vyombo vya usalama katika kutekeleza majukumu yao. Badala ya kutunga sheria na kutoa tamko, ni muhimu kuangalia jinsi vyombo hivi vinavyofanya kazi na kama vinapata rasilimali za kutosha. Mabadiliko ya kweli yanahitaji hatua za kisera na kiutendaji, siyo maneno matupu.

Pili: Tofauti za Kijamii

Swali la kwanini watu Zanzibar hawatekwi, hawapitei na kuuwawa ni la muhimu katika kujadili tamko hili. Katika Zanzibar, hali ya usalama inaonekana kuwa bora zaidi. Hii inatokana na sababu nyingi, ikiwa ni pamoja na ushirikiano mzuri kati ya raia na vyombo vya usalama, pamoja na historia tofauti ya kisiasa. Badala ya kujifunza kutoka kwa hali hiyo, UWT inapaswa kuangalia ni kwa jinsi gani inaweza kuboresha hali katika maeneo mengine ya nchi. Kujaribu kulinganisha Zanzibar na Tanganyika bila kuelewa tofauti hizo ni kupuuza ukweli.

Tatu: Wajibu wa Kila Mtu

Kutoa tamko la kupotea au kuuwawa ni wajibu wa kila mwanajamii, siyo wa UWT pekee. Kila mtu anapaswa kuwa na sauti katika kupinga vitendo vya uhalifu, lakini UWT inapaswa kuweka mazingira mazuri ya watu kutoa taarifa bila hofu. Kila mtu anayo haki ya kujisikia salama, na ni wajibu wa serikali kuunda mazingira hayo. UWT inapaswa kuhamasisha jamii kushirikiana na vyombo vya usalama badala ya kutoa tamko ambalo linaweza kuonekana kama kutafuta umaarufu wa kisiasa.

Nne: Mifumo ya Usalama

Serikali inapaswa kuimarisha mifumo ya usalama ili kuhakikisha kuwa raia wanapata kinga wanayostahili. Badala ya kutoa tamko, ni muhimu kuwekeza katika mafunzo na rasilimali za kutosha kwa vyombo vya usalama. Hii itasaidia kuwajengea uwezo na kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi. UWT inapaswa kuangazia jinsi ya kuboresha mifumo hii badala ya kuishia kwenye matamko yasiyo na maana.

Tano: Msingi wa Kisheria

Tamko la UWT linaweza pia kuathiri misingi ya kisheria na haki za binadamu. Katika nchi ambayo inajivunia demokrasia, ni muhimu kuhakikisha kuwa haki za binadamu zinaheshimiwa. Hii inamaanisha kuwa watu wanapaswa kuwa na haki ya kutoa taarifa na kutoa maoni bila hofu ya dhuluma. UWT inapaswa kuzingatia umuhimu wa haki hizi katika tamko lake na kuhakikisha kwamba haki za raia hazipingwi.

Hitimisho

Katika hitimisho, ni muhimu kuelewa kwamba tamko la UWT linahitaji mapitio makubwa. Badala ya kutoa tamko, ni lazima kuwe na hatua za vitendo ambazo zitasaidia kuzuia utekaji na mauaji. Ushirikiano kati ya jamii na vyombo vya usalama ni muhimu, na UWT inapaswa kuhamasisha hii badala ya kutoa matamko yasiyo na maana.

Ni wajibu wa kila mwanajamii kulinda haki zao na kuhakikisha kuwa wanaishi katika mazingira salama. Tunapaswa kuwa na sauti moja katika kupinga vitendo vya kikatili na kuhakikisha kuwa haki za binadamu zinaheshimiwa. UWT inapaswa kuzingatia mabadiliko yanayohitajika katika jamii na kuachana na matamko yasiyo na msingi.
 
Wakati bendera za Chadema zikishushwa na kuchanwa wakati wa ziara Ruvuma ilikuwa sawa!!

Mkuki kwa Nguruwe ndiyo hiyooo!!

UbayĂ  ubwela!!

Ukikaa kwenye nyumba ya kioo🤣🤣
Haya maccm ni mashetani makubwa sana!
 
BAWACHA wana matatizo makubwa sana .ndio maana wanapuuzwa na kukosa uungwaji mkono kutoka kwa wanawake.
Kama hawana ushawishi mnahangaika nao wanini? Wapuuzeni tu. Ila Lucas, siji kuzaa mtoto nikamwita Lucas
 
Kwamba vimechomwa vitenge Rais🤔

Vimeibwaje Ikulu vije vichomwe kirahisi?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika.

Imelaani vikali sana na kwa nguvu zote hatua za Baraza la wanawake wa CHADEMA ambalo kiuhalisia halina ushawishi wa aina yoyote ile hapa Nchini wala kujulikana majukumu yake wala kazi yake wala msimamo wake wala shughuli yake kuu wala mchango wake kwa wanawake wa Tanzania. Hatua yake ya kuchoma Vitenge Vyenye picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Tamko hilo lililotolewa na Mwenyekiti wake Mama Marry Chatanda limekiita kitendo hicho cha kipuuzi na kitoto sana . Lakini pia jumuiya hiyo ya wanawake wa CCM yenye wanachama zaidi ya Millioni Sita imesema madai yote ya Bawacha ni ya uongo,hayana ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.kwa kuwa kila mtu anafahamu kazi kubwa iliyofanywa na Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Ikiwepo ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya mia tatu ambavyo hata Bawacha wanakwenda kupata huduma, kupandisha Bejeti ya kilimo na mambo mengine mbalimbali yakiwepo ya ajira kwa vijana, miundombinu ,Elimu, Umeme n.k.Imesema pia kuwa vitenge hivyo walinunua wenyewe BAWACHA kutokana na imani yao kubwa kwa Rais Samia. Amevitaka vyombo vya dola kuwaacha na kutowakamata na badala yake watapambana nao kisiasa.maana wanajuwa kuwa wanataka wapate promo kwa kukamatwa.

Amegusia pia mbinu za CHADEMA ambazo zimekuwa zikifanywa za vitendo vya kihalifu ,vurugu na utekaji kama ambavyo zilielezwa na dkt Slaa katika kile kinachoitwa Nyuma ya Pazia. Mwenyekiti huyo shupavu na ambaye amekuwa mwimba Mkali kwa Bawacha hii Dhaifu amesema kwa sasa wanakwenda site kwa kishindoo.ikumbukwe ya kuwa UWT ndio huamua hata ushindi wa Mgombea Urais kutokana na uwingi wake wa wanachama ,ushawishi wake pamoja na kujitokeza kwake kwa wingi katika kupiga kura katika kila uchaguzi.

Lakini pia amesema BAWACHA wasiishie tu kuchoma Vitenge bali waeleze ni vipi mkutano huo ulifanikiwa kufanyika
View attachment 3112387

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Picha ya mwenyekiti wa CCM, picha ya rais iko moja tu ambayo inatumika kwenye shughuri zote za serikali.
 
Lucas, kwani Maulid anasemaje, amelalamika na ksma hajalalamika potezea.
 
Back
Top Bottom