Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Wanatia aibu sana BAWACHA.Chama kinaongozwa na wapuuzi waliofeli elimu ya sekondari unategemea miujiza kweli,ukiwiza walichokifanya watakuambia ni nguvu ya umma?πββοΈπββοΈ
Badilikeni enyi Bawacha na kuachana na mambo ya kitoto na ujinga.Kwanza asiyejitambua ni wewe muda wote kusifu, nenda kwa P'didy ndo akuchambue vizuri marinda
Umesoma maandiko ya Dkt Slaa juu ya Nyuma ya Pazia ya CHADEMA?Badala ya kulaani mauaji na utekaji wa raia wao wanalaani vitenge kuchomwa- hii nchi chawa wamekuwa ni wengi kuliko wazalendo.
Ni hasira ya kutopatikana suluhisho kwa suala la watekaji na wauaji. Hasira itasababisha mengi zaidi maana wamewapoteza wapendwa wao. Washauri inawatetea kutatua shida ya utekaji na mauaji na kuwarudisha waliotekwa.Ndugu zangu Watanzania,
Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika.
Imelaani vikali sana na kwa nguvu zote hatua za Baraza la wanawake wa CHADEMA ambalo kiuhalisia halina ushawishi wa aina yoyote ile hapa Nchini wala kujulikana majukumu yake wala kazi yake wala msimamo wake wala shughuli yake kuu wala mchango wake kwa wanawake wa Tanzania. Hatua yake ya kuchoma Vitenge Vyenye picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Tamko hilo lililotolewa na Mwenyekiti wake Mama Marry Chatanda limekiita kitendo hicho cha kipuuzi na kitoto sana . Lakini pia jumuiya hiyo ya wanawake wa CCM yenye wanachama zaidi ya Millioni Sita imesema madai yote ya Bawacha ni ya uongo,hayana ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.kwa kuwa kila mtu anafahamu kazi kubwa iliyofanywa na Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Ikiwepo ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya mia tatu ambavyo hata Bawacha wanakwenda kupata huduma, kupandisha Bejeti ya kilimo na mambo mengine mbalimbali yakiwepo ya ajira kwa vijana, miundombinu ,Elimu, Umeme n.k.Imesema pia kuwa vitenge hivyo walinunua wenyewe BAWACHA kutokana na imani yao kubwa kwa Rais Samia. Amevitaka vyombo vya dola kuwaacha na kutowakamata na badala yake watapambana nao kisiasa.maana wanajuwa kuwa wanataka wapate promo kwa kukamatwa.
Amegusia pia mbinu za CHADEMA ambazo zimekuwa zikifanywa za vitendo vya kihalifu ,vurugu na utekaji kama ambavyo zilielezwa na dkt Slaa katika kile kinachoitwa Nyuma ya Pazia. Mwenyekiti huyo shupavu na ambaye amekuwa mwimba Mkali kwa Bawacha hii Dhaifu amesema kwa sasa wanakwenda site kwa kishindoo.ikumbukwe ya kuwa UWT ndio huamua hata ushindi wa Mgombea Urais kutokana na uwingi wake wa wanachama ,ushawishi wake pamoja na kujitokeza kwake kwa wingi katika kupiga kura katika kila uchaguzi.
Lakini pia amesema BAWACHA wasiishie tu kuchoma Vitenge bali waeleze ni vipi mkutano huo ulifanikiwa kufanyika
View attachment 3112387
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Bawacha hawana watu wenye akili Timamu na wanaojitambua wanaoweza kuwaunga mkono.ndio maana unaona wamepuuzwa na kudharaulika sana kwa watanzaniaHao wananchi wana tofauti na hao waliowaona BAWACHA watu wa maana?
Maana BAWACHA NA UWT Wote ni wananchi na wana watu nyuma yao.
We ni mwehu sijui darasa la ngapi ulifika
Ni hasira za kukosa ushawishi na uungwaji mkono kutoka kwa watanzania hususani wanawake wenzao.ndio maana wanafanya vitendo hivyo vya kijinga visivyo waongezea kitu chochote kile.Ni hasira ya kutopatikana suluhisho kwa suala la watekaji na wauaji. Hasira itasababisha mengi zaidi maana wamewapoteza wapendwa wao. Washauri inawatetea kutatua shida ya utekaji na mauaji na kuwarudisha waliotekwa.
Haya maccm ni mashetani makubwa sana!Wakati bendera za Chadema zikishushwa na kuchanwa wakati wa ziara Ruvuma ilikuwa sawa!!
Mkuki kwa Nguruwe ndiyo hiyooo!!
UbayΓ ubwela!!
Ukikaa kwenye nyumba ya kiooπ€£π€£
Acha ujinga wako.pambaneni kuokoa chama chenu kinachoendelea kuzama shimoni.Haya maccm ni mashetani makubwa sana!
Kama hawana ushawishi mnahangaika nao wanini? Wapuuzeni tu. Ila Lucas, siji kuzaa mtoto nikamwita LucasBAWACHA wana matatizo makubwa sana .ndio maana wanapuuzwa na kukosa uungwaji mkono kutoka kwa wanawake.
zama za Slaa na CDM zishaishaga kitambo sana ama hujui.Umesoma maandiko ya Dkt Slaa juu ya Nyuma ya Pazia ya CHADEMA?
Picha ya mwenyekiti wa CCM, picha ya rais iko moja tu ambayo inatumika kwenye shughuri zote za serikali.Ndugu zangu Watanzania,
Jumuiya Ya umoja wa Wanawake wa chama cha Mapinduzi Tanzania,.ambayo ndio jumuiya kubwa, yenye nguvu na ushawishi mkubwa sana hapa Nchini na ambayo inapigiwa mfano Barani Afrika na ambayo imekuwa ikiigwa na vyama mbalimbali barani Afrika.
Imelaani vikali sana na kwa nguvu zote hatua za Baraza la wanawake wa CHADEMA ambalo kiuhalisia halina ushawishi wa aina yoyote ile hapa Nchini wala kujulikana majukumu yake wala kazi yake wala msimamo wake wala shughuli yake kuu wala mchango wake kwa wanawake wa Tanzania. Hatua yake ya kuchoma Vitenge Vyenye picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Tamko hilo lililotolewa na Mwenyekiti wake Mama Marry Chatanda limekiita kitendo hicho cha kipuuzi na kitoto sana . Lakini pia jumuiya hiyo ya wanawake wa CCM yenye wanachama zaidi ya Millioni Sita imesema madai yote ya Bawacha ni ya uongo,hayana ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.kwa kuwa kila mtu anafahamu kazi kubwa iliyofanywa na Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Ikiwepo ujenzi wa vituo vya afya zaidi ya mia tatu ambavyo hata Bawacha wanakwenda kupata huduma, kupandisha Bejeti ya kilimo na mambo mengine mbalimbali yakiwepo ya ajira kwa vijana, miundombinu ,Elimu, Umeme n.k.Imesema pia kuwa vitenge hivyo walinunua wenyewe BAWACHA kutokana na imani yao kubwa kwa Rais Samia. Amevitaka vyombo vya dola kuwaacha na kutowakamata na badala yake watapambana nao kisiasa.maana wanajuwa kuwa wanataka wapate promo kwa kukamatwa.
Amegusia pia mbinu za CHADEMA ambazo zimekuwa zikifanywa za vitendo vya kihalifu ,vurugu na utekaji kama ambavyo zilielezwa na dkt Slaa katika kile kinachoitwa Nyuma ya Pazia. Mwenyekiti huyo shupavu na ambaye amekuwa mwimba Mkali kwa Bawacha hii Dhaifu amesema kwa sasa wanakwenda site kwa kishindoo.ikumbukwe ya kuwa UWT ndio huamua hata ushindi wa Mgombea Urais kutokana na uwingi wake wa wanachama ,ushawishi wake pamoja na kujitokeza kwake kwa wingi katika kupiga kura katika kila uchaguzi.
Lakini pia amesema BAWACHA wasiishie tu kuchoma Vitenge bali waeleze ni vipi mkutano huo ulifanikiwa kufanyika
View attachment 3112387
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hili jitu ni lijinga haswaKwanza asiyejitambua ni wewe muda wote kusifu, nenda kwa P'didy ndo akuchambue vizuri marinda
UWT hawana akili hata kidgBadala ya kulaani mauaji na utekaji wa raia wao wanalaani vitenge kuchomwa- hii nchi chawa wamekuwa ni wengi kuliko wazalendo.
Mkawakamate basi muwafungulieBAWACHA wana matatizo makubwa sana .ndio maana wanapuuzwa na kukosa uungwaji mkono kutoka kwa wanawake.
Huyu mwenyewe yupo UWT ndiyo walewale..UWT nao wachome moto mabango yanayomuonyesha Raisi na viongozi wa Chadema.
Lucas, kwani Maulid anasemaje, amelalamika na ksma hajalalamika potezea.Ndugu zangu Watanzania,