GE2025 Uyole: Dkt. Tulia awaahidi wananchi kuwajengea shule ya kata Mwasanga

GE2025 Uyole: Dkt. Tulia awaahidi wananchi kuwajengea shule ya kata Mwasanga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mpepetaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
346
Reaction score
213
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Kupitia Ccm Dkt Tulia Ackson ameahidi kuendelea Kuwezesha wananchi kiuchumi pamoja na kujenga Shule katika kata ya Mwansanga jimboni humo

Akiwa katika Mwendelezo wa Kampeni zake, wananchi wa kata ya Mwansanga walimueleza kuwa wanahitaji Kupata shule ambayo itasaidia kuinua Elimu katani humo

Akijibu Ombi hilo, Dkt Tulia amesema endapo wananchi hao wataipa ridhaa CCM kuongoza nchi, basi Serikali itatimiza hitaji la Wananchi hao

Kuhusu Uwezeshaji wananchi kiuchumi, Dkt Tulia amesema kupitia ataendelea kuyasaidia makundi mbalimbali kujikwamua kiuchumi kupitia program mbalimbali ambazo amekuwa akiziendesha kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust
1758737095452.png
 
Back
Top Bottom