Uyui, Tabora: Msafara wa Viongozi wa CHADEMA, wapata ajali wakiwa wanaelekea Kigoma

Pole sana kwa Makamanda
 
Mwingine, miongoni mwa wale wenye matatizo kichwani, huyu hapa. Haelewi hata kinachoongolewa.

Ambao kichwani hamjakamilika, mngekuwa mnatulia, waacheni wenye akili timamu ndio wachangie hoja zinapoletwa jukwaani.
 
Tunawatakia wapate afya haraka kwa Uwezo w Mungu waendelee na kazi zao Adhimu.
 
Mwingine, miongoni mwa wale wenye matatizo kichwani, huyu hapa. Haelewi hata kinachoongolewa.

Ambao kichwani hamjakamilika, mngekuwa mnatulia, waacheni wenye akili timamu ndio wachangie hoja zinapoletwa jukwaani.
Mungu fundi
 
Ruzuku hizi, usikuu wote WA Nini jamaaniii, nawakati madereva wao siowazoefu na barabara za hukoo?
 
Kwa nchi inayojitambua na raia wenye akili wanaopenda maendeleo hufanya kazi usiku na mchana ,
Ila kwa watu wenye akili za kimaskini kama wewe huona usiku ni muda wa wachawi , usiwe mpumbavu badilika
Kwahiyo wangekufa ndooo ungefurahiii si ndiooo
 
Labda walikuwa wamelewa, wamechukua ruzuku, hata tairi za gari hazijanunuliwa, na Hela imeisha, ni mwendo wa tairi kubasti
Crap from low mind.

Ajali zote zinazotokea watu huwa wamelewa au huwa hawajanunua tairi? Wangapi kila siku wanapata ajali kila siku kwenye barabara za Tanzania? Hao ni kutokana tu na nafasi zao ndiyo maana tumesikia, lakini kila siku wapo wanaopatwa na ajali barabarani, kubwa na ndogo.

Tatizo la ajali Tanzania linachamgiwa na sababu nyingi kama vile uendeshaji mbaya, miundombinu mibaya ya barabara, vipuli visivyo na ubora toka China vilivyotapakaa kila mahali, matairi yenye ubora hafifu toka China ambayo yamefurika karibia maduka yote, udhaifu wa mamlaka za udhibiti ubora wa vipuli na tairi zinazoingia nchini, uwezi mdogo wa mafundi wanaofanyia matengenezo magari, n.k. Hivyo huwezi kusikia tu, na kutoa sababu ya ajali.

Usiwe kama Polisi wa Tanzania, ambao kimsingi hawana uwezo wa kuchunguza chanzo cha ajali, ambao mara moja hukimbilia kusema, 'chanzo cha ajali ni mwendo kasi wa dereva', au utasikia, 'chanzo cha ajali ni kupasuka kwa tairi la mbele'. Upuuzi mkubwa! Hawajui tofauti ya chanzo na matokeo.
 
Wastue waninginize mdoli pale kwenye driving mirror, ndani ya mdoli utawaelekeza nini waweke
Usikute walikuwa wanatoka Kwa Mganga wao, wakapewa masharti ya kusafiri usiku,njiani wakakutana na zaidi Yao kujaribu tu mambo yakajibu. Wanasiasa......
 
Sa nane usiku kwani wanaenda fanya ujambazi?
Dereva lazima alisinzia kawabwaga
 
Wakati wote, iwe usiku iwe mchana, kuna watu wapo barabarani. Ndivyo ilivyo Duniani kote. Na hata barabara zinatengenezwa kukidhi safari majira na nyakati zote.

Nilichomaanisha ni kipi kikubwa walikuwa wanawahi huko hadi kulazimika kuwa barabarani muda huo?
 
usiku usiku kama wachawi. Kwanini wasitembee mchana ili hata wakihujumiwa wananchi waone.
Hujuma gani kwenye ist asee msafara wa viongozi una ist kweli kabisa ifike kigoma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mambo mengine kujitakia
 
Usikute walikuwa wanatoka Kwa Mganga wao, wakapewa masharti ya kusafiri usiku,njiani wakakutana na zaidi Yao kujaribu tu mambo yakajibu. Wanasiasa......
Kweli kabisa, vijiji vingine hupiti na mzigo (dawa za mazindiko), lazima unase kwenye network ya watu wenye umeme mkali. Rada zao zimejaa Kila mahali.
 
Kweli kabisa, vijiji vingine hupiti na mzigo (dawa za mazindiko), lazima unase kwenye network ya watu wenye umeme mkali. Rada zao zimejaa Kila mahali.
Tena Mkuu mikoa yenyewe ni Kigoma na Tabora ๐Ÿ˜€. Wabadili Mganga mapema au Hawakumlipa pesa ya kilinge inavyotakiwa badala ya kuwapa Zindiko akawapa dawa za vidonda ona sasa. Maana Hawa Jamaa wa Chama hiki Kwa sound ni hatari. Wanapenda kupokea kuliko kutoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ