Uyui, Tabora: Msafara wa Viongozi wa CHADEMA, wapata ajali wakiwa wanaelekea Kigoma

Safari za usiku kama ni mgeni wa barabara ni hatari sana,kama nadanganya muulizeni huyo dereva
 
Hiyo Barabara imebonyea bonyea sana maeneo ya Kigwa.
 
Wastue waninginize mdoli pale kwenye driving mirror, ndani ya mdoli utawaelekeza nini waweke
Hahahahaaaa!
Kumbe mle kwwnye vimdoli kuwa vitu e? Duh, wabongo kwa kuendekeza uchawi na ushirikina ni balaa.

Niliwahi kupanda bus la kampun fulani maarufu sana miaka ya nyuma kidogo kutoka mwanza-tabora, mbele wameweka 'tunguli' na usinga. Gari bovu, linazima muda wowote. Na bado walitushusha nje ya mji ili kukwepa traffic, sitasahau!
 
Mmepona kweli!!?
 
Pole sana makamanda mwenyezi Mungu awape wepesi mpate kupona mapema.
 
Mungu amewanusuru kwenye kifo,Mungu ni fundi.
 
Poleni makamanda Mungu yu pamoja nanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…