Mwaka jana kwenye kampeni mbona Jiwe alitamba tu kwa zile kampeni ambazo hazina tahadhari alionekana mshindi yeye kwa kutangaza hakuna corona hadi upinzani nao wakafanya kampeni zao bila tahadhari,wakati huo nchi zengine bado zimezuia mikusanyiko na tahadhari zengine zikiendelea.