Uzalendo: BAWACHA yaahirisha Kongamano lililopangwa kufanyika Iringa kuadhimisha siku ya Wanawake dunia ili kuzuia maambukizi ya Corona

Uzalendo: BAWACHA yaahirisha Kongamano lililopangwa kufanyika Iringa kuadhimisha siku ya Wanawake dunia ili kuzuia maambukizi ya Corona

Wametumia akili sana, maana hii ingetumika kujustify reckless approach ya, Jiwe kwenye issue ya Covid-19
Mwaka jana kwenye kampeni mbona Jiwe alitamba tu kwa zile kampeni ambazo hazina tahadhari alionekana mshindi yeye kwa kutangaza hakuna corona hadi upinzani nao wakafanya kampeni zao bila tahadhari,wakati huo nchi zengine bado zimezuia mikusanyiko na tahadhari zengine zikiendelea.
 
Tunawatakia kila la heri wanawake wote duniani
 
Back
Top Bottom