At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Jibu swaliSwali duni sana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swaliSwali duni sana !
... Mimi nazungumzia Chadema unaniletea habari za Mdee?Kabisa wana akili nyingi kama mdee na wenzie 19
... changanya na zako.Rais Magufuli
... Mimi nazungumzia Chadema unaniletea habari za Mdee?
Mwaka jana kwenye kampeni mbona Jiwe alitamba tu kwa zile kampeni ambazo hazina tahadhari alionekana mshindi yeye kwa kutangaza hakuna corona hadi upinzani nao wakafanya kampeni zao bila tahadhari,wakati huo nchi zengine bado zimezuia mikusanyiko na tahadhari zengine zikiendelea.Wametumia akili sana, maana hii ingetumika kujustify reckless approach ya, Jiwe kwenye issue ya Covid-19