Uzalendo: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ala chakula cha gerezani kuonesha mfano

Uzalendo: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ala chakula cha gerezani kuonesha mfano

Tukiwauliza wako wapi mbona hawaonekani Ni kesi kubwa lakini wanapoonekana kwenye makamera kwa vitu vya kijinga wanafosi tuwaangalie . Sasa sisi wananchi tunataka tuwaone nyakat zote kwa afya na ugonjwa kwan tumeeazoea kuwaona kila mara
 
Utawala wa awamu ya 5 una vichaa wengi sana, anaanzia yule ambaye hatakiwi kusemwa kwa hali yake ya sasa, then anayefuata Chalamila, na hawa wapya wameibuka. Alichokifanya ni upuuzi wa kiwango cha SGR.
 
Haya ni masimango kwa wafungwa. Angekula nao wote waingie bwalo la wafungwa.avae nguo zao alale chini weeek moja km wafungwa.
 

ha ha ha! danganya toto tu! PR nzuri lakini ni danganya toto! Kwa nini clip haionyeshi toka jikoni chakula kikipakuliwa halafu akae karibu na wafungwa ale tonge kwa tonge nao kutoka katika mabakuli yao, hapo angalau tungeliamini. Ila hicho chakula si cha mfungwa, ni cha maafisa wa polisi.

Pia kichwa cha habari kinasema "ala chakula cha gerezani kuonesha mfano", ni mfano wa nini hasa? Yaani sote tuwe tunakwenda kula gerezani au?
 
Back
Top Bottom