AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Kwanini kila mzigo tunaangushiwa sisi wananchi...makodi matozo ni yetu tu pekee yetu wananchi wa wa kawaida.
Ila viongozi hasa wanaoitwa eti wanatuwakilisha bungeni, wanajitahidi kila sheria na makato na makodi YASIWAGUSE WAO.
Nashauri tushinikize mswaada wa raia kwa njia ya poll...Na isukumwe iwe ajenda ya taifa zima...
1. Nafasi za ubunge, urais na uwaziri ziwe za kujitolea... Kusiwe na posho wala mshahara.
2. Serikali itagharamia malazi, makazi na usafiri wa wabunge kipindi chote watakachokuwa wanajadili masuala ya kitaifa.
3. Na hakuna sheria maalum kwa ajili ya wabunge...Jambo lolote litakalotungwa kiuchumi au kijamii kila mtu katika taifa hili limguse.
Hizi favor...Hakuna uzalendo...Ni unyonyaji...