Uzalendo: Tundu Lissu aibuka Ivory Coast kushangilia Taifa Stars

Nyie watu wagumu sana wa kuelewa na wepesi wa kusahau,hela binafsi wakati ni ruzuku za chama zinateketea,vipi ile michango ya Hanang mliyochangisha wafuasi wenu baadae mkadanganya umma kuwa serikali imezuia msiende huko!? Jemlliirudisha kwa wahusika!?
Cheki hii Ticha ya Primary [emoji16][emoji16]
 
Hahahaaa

Kutokea kwenye msiba, kabirini, event na uwanjani unakua statesman

Basi gerson Msigwa is a statesman

Haji kwenye maandamano?
Yeah kwa mgombea urais ni vizuri ku appear social kwa makundi yote kwa jamii that's politics. JPM mastered it and so did lowassa and Mbowe, ila Lissu pekee hakua social kiasi hiki.

Kingine Lissu hajawahi kuwa muoga wa maandamano wala bunduki mind you ilikua kipindi cha yule ibilisi ndio sembuse kipindi hiki cha huyu mama rojorojo.
 
Kumbe mgombea siyo mbowe?
 
Nyie watu wagumu sana wa kuelewa na wepesi wa kusahau,hela binafsi wakati ni ruzuku za chama zinateketea,vipi ile michango ya Hanang mliyochangisha wafuasi wenu baadae mkadanganya umma kuwa serikali imezuia msiende huko!? Jemlliirudisha kwa wahusika!?
Tunajua we tahira Ila jitahidi kuficha ujinga wako
 
Ukiwa na hela ndo unaonekana mzalendo, huna hela huko utafikaje ?
 
Back
Top Bottom