Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ngoja nipige sasa. Huu ndio muda mzuri.Mkuu haupigi cha asubuhi unamuwaza samia wa watu?
Kwa kadiri ninavyoijua CCM na wana CCM wanaye tu SSH na ni chaguo lao mpaka ifikapo 2030. Hata akijitokeza kada mzalendo na mwenye uchungu wa kutaka kuleta mabadiliko kama JPM,, bado kikwazo kitakuwa ni utamaduni wao mbaya wa kutotaka kumshindanisha, na pia kutoa fomu moja tu kwa ajili yake yeye tu.Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .
Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.
Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.
Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa na genge la wahuni.
Ni rais ambaye yupo yupo tu.
Wananchi WAZALENDO VIONGOZI si WAZALENDOMitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .
Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.
Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.
Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa na genge la wahuni.
Ni rais ambaye yupo yupo tu.
Ni hasara kubwa kwa nchi kuwa na Rais wa namna hii. Yaani ni hasara ni hasara kubwa Sana.Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .
Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.
Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.
Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa na genge la wahuni.
Ni rais ambaye yupo yupo
Huyu Mama Abdul siku akitolewa kwenye kiti cha taifa, atakuwa kama Mwalimu Mstaafu wa Namanyere,Nkasi uko au kama Mama Ntilie Mstaafu wa Mabibo sokoni.Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .
Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.
Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.
Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa na genge la wahuni.
Ni rais ambaye yupo yupo tu.
Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .
Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.
Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.
Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa na genge la wahuni.
Ni rais ambay
Wapumbavu ndio wasiomuaminiMitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .
Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.
Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.
Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa na genge la wahuni.
Ni rais ambaye yupo yupo tu.
Hivi Bavicha malezi yenu mlipatia wapi?Huyu Mama Abdul siku akitolewa kwenye kiti cha taifa, atakuwa kama Mwalimu Mstaafu wa Namanyere,Nkasi uko au kama Mama Ntilie Mstaafu wa Mabibo sokoni.
Ata Swaiba wake Tulia naye atakuwa kama Mama muuza ndizi Mstaafu wa sokoni,Mwanjelwa!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
madhara ya dabokiki za alfajiri halafu unaendesha bodaboda.Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .
Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.
Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.
Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa na genge la wahuni.
Ni rais ambaye yupo yupo tu.
Stay tuned mwakani na 2025 Utajua wanamuami au hawamuani 😂😂Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .
Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.
Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.
Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa na genge la wahuni.
Ni rais ambaye yupo yupo tu.
Acha umama,kila mtu humu ni BAVICHA?Hivi Bavicha malezi yenu mlipatia wapi?
anataka kupooza mambo kwa kutumia chawa ambao hawana impact yoyote kwa wananchi walio wengi na mbaya zaidi anajaribu kutumia walimu aonekane anakubalikaMitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .