Uzalendo umeshuka na kutoweka kwa Watanzania bada ya Rais Samia kurithi Urais. Watanzania hawamuaamini kwa kila kila jambo

Uzalendo umeshuka na kutoweka kwa Watanzania bada ya Rais Samia kurithi Urais. Watanzania hawamuaamini kwa kila kila jambo

Kila mmoja amegeuka mchwqa, kila mtu ni mwizi na fisadi! Kila mmoja ni kukwapua tu bila woga kwani hakuna mwenye nafuu
 
Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .

Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.

Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.

Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa na genge la wahuni.

Ni rais ambaye yupo yupo tu.
Pole mjane wa Marehemu shetani la Chato!

Naona mimba ya Marehemu shetani lenu la Chato bado inakusumbua sana!

Na kibaya zaidi mimba yako imetokea kumchukia sana Samia. Vumilia tu 2030 sio mbali
 
Huyu Mama Abdul siku akitolewa kwenye kiti cha taifa, atakuwa kama Mwalimu Mstaafu wa Namanyere,Nkasi uko au kama Mama Ntilie Mstaafu wa Mabibo sokoni.
Ata Swaiba wake Tulia naye atakuwa kama Mama muuza ndizi Mstaafu wa sokoni,Mwanjelwa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Madua ya masikini ndo haya
 
Kamwe usimpe imani yako mtu ambaye hata yeye mwenyewe hajiamini
 
Back
Top Bottom