pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Kila mmoja amegeuka mchwqa, kila mtu ni mwizi na fisadi! Kila mmoja ni kukwapua tu bila woga kwani hakuna mwenye nafuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa na akili usingeandika huu upuuzi.Wapumbavu ndio wasiomuamini
Pole mjane wa Marehemu shetani la Chato!Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .
Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.
Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.
Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa na genge la wahuni.
Ni rais ambaye yupo yupo tu.
Subirini 2030sijawahi kushuhudia shida ya mafuta, dollar na umeme kwa wakati mmoja hadi Samia alipoingia Ikulu.
Ajitathmini.
Hama nchiNi hasara kubwa kwa nchi kuwa na Rais wa namna hii. Yaani ni hasara ni hasara kubwa Sana.
Madua ya masikini ndo hayaHuyu Mama Abdul siku akitolewa kwenye kiti cha taifa, atakuwa kama Mwalimu Mstaafu wa Namanyere,Nkasi uko au kama Mama Ntilie Mstaafu wa Mabibo sokoni.
Ata Swaiba wake Tulia naye atakuwa kama Mama muuza ndizi Mstaafu wa sokoni,Mwanjelwa!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app