Uzalendo: Video ikionesha wananchi wakisafisha barabara baada ya lori kumwaga mafuta huko Singida

Uzalendo: Video ikionesha wananchi wakisafisha barabara baada ya lori kumwaga mafuta huko Singida

Mkuu wasameheni tu,wapewe elimu tu maana maisha yamekuwa magumu sana awamu hii.

Hapo kama wakifanikiwa wanapigapo hela hata ya kuishi na familia zao,sio mbaya kufa huku unatafuta mkuu,wabongo wako tayari kwa lolote.

Maandamano tu ndo tunaogopa Mkuu,maana serikali haikawii kuleta jeshi na vifaru.
hakuna kitu kama hicho, mkuu.
 
Kuna watanzania ni pumbavu sana maana hawajifunzi.
Wait a minute. Rekebisha sentensi yako. Unamaanisha na wewe ni mpumbavu. Sema tu kuna baadhi ya watu katika jamii yetu ni wapumbavu. Lakini kabla ujasema hivyo, tafakari kwa kina kwa nini wanafanya hivyo. Maisha magumu ndiyo yanawapelekea kufanya wanachofanya.
 
Back
Top Bottom