Mkuu wasameheni tu,wapewe elimu tu maana maisha yamekuwa magumu sana awamu hii.
Hapo kama wakifanikiwa wanapigapo hela hata ya kuishi na familia zao,sio mbaya kufa huku unatafuta mkuu,wabongo wako tayari kwa lolote.
Maandamano tu ndo tunaogopa Mkuu,maana serikali haikawii kuleta jeshi na vifaru.