Uzalendo wa Kweli: Heshima kwa Viongozi Wetu

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Watanzania wenye uzalendo wa kweli tunapenda kuona nchi yetu ikiendelea kwa amani mshikamano na heshima kwa viongozi wetu.

Ndiyo maana tunapaswa kukemea kauli za uchochezi matusi na maneno yanayoweza kuwagawa wananchi kwa misingi ya chuki au tamaa ya umaarufu.

Dudubaya anapaswa kuelewa kuwa demokrasia si ruhusa ya kubeza kudhalilisha au kuvunja heshima ya viongozi wa taifa letu hasa Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea kuiongoza Tanzania kwa hekima utulivu na juhudi za maendeleo tena kwa kasi ya ajabu.

Kukosoa kwa hoja ni haki lakini kutumia lugha za kejeli uchochezi na dharau si ustaarabu wala uzalendo wetu sisi watanzania.

Uzalendo maana yake ni kuilinda Tanzania yetu kuheshimu mamlaka za nchi kutanguliza amani mbele ya tofauti za kisiasa na kuunganisha wananchi badala ya kuwagawa.

Mzalendo wa kweli hasambazi chuki wala kuchochea vurugu mitandaoni kwa ajili ya kutafuta umaarufu.

Tunamtaka Dudubaya aache kutumia vibaya uhuru wa maoni na demokrasia kwa kueneza kauli zinazoweza kuleta migawanyiko.

Aelewe kuwa Tanzania ni nchi ya amani na wananchi wengi tunataka maendeleo utulivu na heshima kwa taifa letu.

Tunasimama pamoja kulinda umoja wetu tunaiheshimu Serikali yetu na tunamuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuendelea kuijenga Tanzania yenye mshikamano, utu, maendeleo na upendo. 🇹🇿✊
 
Kama wazalendo wa nchini hii,
kwa wivu mkubwa tutalinda umoja, amani na utulivu wa taifa letu, kwa nguvu na gharama yoyote ile.

wananchi waliokosa adabu kama dudubaya ambae kwakweli afya yake sio stable sana, wakemewe kwa ukali kidogo na kisha wapuuzwe tu licha ya jitihada zao hizo za kutafuta kiki na public sympathy baada ya kupapaswa kidogo tu na mkono wa sheria 🐒
 
Respect is earned...

Waliojijengea heshima wataheshimiwa, makarai yatabaki makarai na yataheshiwa yanapopeleka mboga! Heshima haiombwi
 
Watanzania wenye uzalendo wa kweli tunapenda kuona nchi yetu ikiendelea kwa amani mshikamano na heshima kwa viongozi wetu.

Ndiyo maana tunapaswa kukemea kauli za uchochezi matusi na maneno yanayoweza kuwagawa wananchi kwa misingi ya chuki au tamaa ya umaarufu.

Dudubaya anapaswa kuelewa kuwa demokrasia si ruhusa ya kubeza kudhalilisha au kuvunja heshima ya viongozi wa taifa letu hasa Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea kuiongoza Tanzania kwa hekima utulivu na juhudi za maendeleo tena kwa kasi ya ajabu.

Kukosoa kwa hoja ni haki lakini kutumia lugha za kejeli uchochezi na dharau si ustaarabu wala uzalendo wetu sisi watanzania.

Uzalendo maana yake ni kuilinda Tanzania yetu kuheshimu mamlaka za nchi kutanguliza amani mbele ya tofauti za kisiasa na kuunganisha wananchi badala ya kuwagawa.

Mzalendo wa kweli hasambazi chuki wala kuchochea vurugu mitandaoni kwa ajili ya kutafuta umaarufu.

Tunamtaka Dudubaya aache kutumia vibaya uhuru wa maoni na demokrasia kwa kueneza kauli zinazoweza kuleta migawanyiko.

Aelewe kuwa Tanzania ni nchi ya amani na wananchi wengi tunataka maendeleo utulivu na heshima kwa taifa letu.

Tunasimama pamoja kulinda umoja wetu tunaiheshimu Serikali yetu na tunamuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuendelea kuijenga Tanzania yenye mshikamano, utu, maendeleo na upendo. 🇹🇿✊
Nani alikuambia uzalendo ni kuwatukuza waheshimiwa? Unaujua uzalendo ww au unaadika tu
 
Back
Top Bottom