Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

😍😍
 
Aaaamin aaaamin 🙏

VIVA SAMIA VIVAAAA💪👊

KAZI IENDELEE

#SiempreJMT
 
Nasikia rais wa Zambia kaenda Marekani na watu watatu!!!

Rais wa Zambia Hana pesa atafanyaje? Uwanja wa ndege ulishachuliwa na Wachina hahaa

Rais wa Zambia hana sio hataki, Samia anazo lakini hataki ndio maana ya Uzalendo,

Acha kumlinganisha Samia na vitu vya hovyohovyo
 
Wa afrika tuna maneno sana.yani,mnampangia rais asafiri kwa kutumia nini?

Daah,hivi na nchi za wenzetu marais wanapingiwa kiasi hiki?
 
Mimi nafikiri ungetupa gharama halisi aliyoitumia Rais Samia alipokwenda kwenye ziara UNGA.
 
Wa afrika tuna maneno sana.yani,mnampangia rais asafiri kwa kutumia nini?

Daah,hivi na nchi za wenzetu marais wanapingiwa kiasi hiki?

Hakuna aliyempangia, Samia kafanya kwa moyo wake na Uzalendo wake
 
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
 
Rais wa Zambia Hana pesa atafanyaje? Uwanja wa ndege ulishachuliwa na Wachina hahaa

Rais wa Zambia hana sio hataki, Samia anazo lakini hataki ndio maana ya Uzalendo,

Acha kumlinganisha Samia na vitu vya hovyohovyo
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
 
Uzalendo wa Rais Samia ni wa moyoni,

Duuh, kama hii ni kweli basi Samia ni jembe sana,

Asante Rais wangu Samia kwa kuwajali Watanzania
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
 
Kuhudumia watoto wa maskini?

watoto wa maskini ni nani ? umaskini wao unatokana na nini? umesababishwa na nini?

WATOTO WA MASKINI? KWELI UJINGA NI MZIGO ZAIDI YA ZIGO LA MAVI.......
 
Hakuna mantiki kwa marais wa nchi kusafiri to NYC ili kuhutubia UNGA kwa dakika 15. Hata Mh SSH angetumia 1MIL bado ni ufujaji wa pesa.

Kuna marais wa nchi kadhaa hawajawahi kugusa kabisa huo mkutano kwani haina tija mf. aliyekua rais wa Botswana Khama, jembe la JMT hayati JPM nk.

Juzi PM wa Haiti kahutubia UNGA kupitia zoom. Sasa kama inawezekana hata kutumia zoom kuna haja gani ya viongozi wa nchi kuchoma pesa ili wakahutubie for 15mins?

Mambo wanayoongea ndo hayo hayo wanayoongelea kila siku kwenye mikutano mingine climate change, security etc.

Mh SSH aache kupoteza muda wake kwenda huko au atume muwakilishi tu inatosha.
 
Wengine shida ni lugha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…