Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya ndege ya TZS 270M kwakupanda usafiri wa Umma | Rais Joao wa Angola ametumia TZS 9,500M kwenye Safari hiyohiyo ya UNGA, Wonders shall never end in Africa
________________________________________
China kule kwenye scholarships na nchi zingine yaani wakati Mchina anahangaika kuingiza Yuan 1700 kama chini ya $us 300 kasoro kwa mwezi enzi hizo Angola wanafunzi wake walioko nje amawagei US$ 1000 kwa mwezi.

Zile natural resources zake wanajua kuzigawana aisee zikiwa bado mbichi mbichi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kazi nzuri Mama, hatuna budi kukupa kura za ndio 2025.

#Mama 2025.
 
Tumezoea kupigwa mpaka wasipotupiga tunawasifu , tumekwisha
 
Hakuwa na sababu ya kwenda huko, ni mikutano ambayo haina maana zaidi ya kupoteza muda na pesa tuu na hakuna anayesikiliza speech za UN,angetumia zoom ingetosha
 
Moja Tanzania,
So unapoconclude kwamba mama samia ndiye mzalendo namba moja afrika una maana gani? Nikajua kwamba labda umetembea afrika nzima ukaja na hitimisho hilo.....


Hamna mwanasiasa mzalendo.....bora hata mrisho mpoto.
 
Waheshimiwa mbona mada hii sijaielewa? Raisi wa Angola ametumia shilingi ngapi na mama ametumia shilingi ngapi?
 
Swala sio utajiri au umasikini,

Kwaakili Tanzania tunashindwa kugharamia safari ya UNGA kwa kiwango cha kifisadi?

Hoja hapa ni UZALENDO wa Mzalendo namba moja Samia Suluhu Hassan,

Ukisoma hiyo Source Watu wa Angola wanalalamika kama uchumi ni huo Why walalamike,

Tukubaliane kwa Sasa Africa, Mzalendo namba Moja ni SAMIA SULUHU HASSAN TU.
Kunawatu wanaugonjwa wakusifusifu hovyo... Wanasifu ujinga Mara wakampokee na vigelegele!! Saingine unakuta hata sio mwanamke
 
So unapoconclude kwamba mama samia ndiye mzalendo namba moja afrika una maana gani? Nikajua kwamba labda umetembea afrika nzima ukaja na hitimisho hilo.....


Hamna mwanasiasa mzalendo.....bora hata mrisho mpoto.
😍😍😍😍
 
Mleta mada ni muongo mkubwa.

Tanzania hairuhusiwi kutulisha ndege yake Marekani.

Kutua Marekani lazima nchi ya usajili wa ndege husika iwe ni FAA IASA Cat 1 ( Federal Aviation Authority, Internationa Aviation Safety Assessment Category 1.)

Tanzania ni uncategorized, hatuko kundi lolote. Hii ni kwa sababu Tanzania haijawahi kuomba au kufikiria kuomba kutua Marekani, hatuna biashara hiyo. Cat 1 certification ni kama leseni ya uchimbaji madini, usipochimba unanyang’anywa. Ukipewa kibali cha kutua ukawa huna uwezo wa kupeleka ndege regularly unanyang’anywa. Ndo maana hatujawahi kuomba kibali hicho na hatujawahi toka uhuru kufanyiwa country safety audit na Marekani.

Nchi zinazoruhusiwa kutua Marekani ni hizi:

 
Jitahidi walau tu kuwa mzalendo
Sina tatizo na Raisi Samia ni mapema sana kujua ni mbaya au mzuri tunampa nafasi bado na anaonekana hana roho mbaya na ni mtu mzuri, ila na wewe punguza kutulisha madini kama tuko Korea kaskazini, watu wengi humu tuna information za kutosha na uelewa wa kutosha, post zako ni burdani usiache kuzipost
 
Back
Top Bottom