Pharm D
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,235
- 3,008
Mnalilia katiba ya nchi wakati huo ya chama chenu tu hamfuati...Vihoja vya kilaghai laghai visivyo na maana KATIBA MPYA ndio mpango mzima
Ati uzalendo wa kupanda Ndege wakati amekuwa akiacha kutumia Ndege ya Raisi na kila safari alikuwa anatumia Airbus ya Atcl
Uzalendo wa Rais utapimwa na kutuachia Katiba mpya itakayodumu kwa miaka 50 ijayo na sio kusifiwa kwa kupanda Emirates.
Uzalendo uanzie ndani ya chama ndio wananchi wengine tutawaelewa