Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani

Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
 

Attachments

  • IMG-20250212-WA0069.jpg
    IMG-20250212-WA0069.jpg
    186.4 KB · Views: 1
Wafungue kanda zingine kwaajili ya kuzalisha pamba. Pamba nchi hii ilianza kuzalishwa mikoa ya kusini. Baadaye zikaja habari za kiwavi blah blah blah
 
Nimesoma "uzalishwaji wa pamba umeongezeka" kabla sijasoma content nikajua tu, hapa kinachotafutwa ni kutaja Samia, Wala ongezeko hilo si ajenda ya muhimu Kwa mleta mada..uchawa umeharibu kizazi hiki, kusifia sifia na kujikomba komba imekuwa ni ajira rasni!
 
Back
Top Bottom