bhas wewe vumilia tu utawapata wote kwa mpigo...Tatizo la sma ana tamaa sana huyu mwanamke,
Nosi ametuliaaa ila wote vishundu wanavyo, ila sma ana rangi ya mtume hivi.
Nombuso ni mke msikivu hata akinifumania atasema "Pole babe kwa kufumaniwa"..
Jikoshe tu ewe pisi kali siku utakaponasa kwa dhlomo ndio utaona haya hayana mwenyewe, πππ
Ukimzingua anakuweka selo
heeee mbna sielewi inamaana xulu kunakipindi alionyeshwa akiwa mzm?Kwamba mabuza ndio amem shoot xulu bosi wake? Maybe mkuu.
Ninachoona mabuza anahangaika xulu apone ili aanze kupata cha mkononi kama kawa.
Yule mwanamke ndio anamtibia xulu nadhani.
Ila li mabuza linapenda rushwa.
Hilo li mamlambo ni lichawi lililojificha kanisani,Siyo Mabuza aliyeua lakini mchongo mzima anaufahamu. Na yule mama Sangoma wa Xulu naye pia anahusika.
Ila yule mama sangoma ni ndumilakuwili na hawapendi familia ya pastor.
Xulu alioneshwa tu akiwa amelala mahututi kwenye kanyumba fulani pamejificha,. Halafu mabuza akawa anaongea na mwanamke mmoja kuuliza anaendeleaje?heeee mbna sielewi inamaana xulu kunakipindi alionyeshwa akiwa mzm?
nani anayefaham iyo ishu kati ya kina mabuza na mamlambo naombeni ufafanuzi
mmmh, mbna patam apo.. apone haraka kwakweli maana ilo litoto lakiume apo aliwez ata kusimamia mali mjinga mmoja yuleXulu alioneshwa tu akiwa amelala mahututi kwenye kanyumba fulani pamejificha,. Halafu mabuza akawa anaongea na mwanamke mmoja kuuliza anaendeleaje?
Yule mwanamke ndio amekabidhiwa uangalizi wa xulu, nadhani hii mabuza anajua huko kwa mamlambo hatujajua bado
Nombuso huyu anaweza kuwa ndio NumbisaTatizo la sma ana tamaa sana huyu mwanamke,
Nosi ametuliaaa ila wote vishundu wanavyo, ila sma ana rangi ya mtume hivi.
Nombuso ni mke msikivu hata akinifumania atasema "Pole babe kwa kufumaniwa"..
Jikoshe tu ewe pisi kali siku utakaponasa kwa dhlomo ndio utaona haya hayana mwenyewe, πππ
Ukimzingua anakuweka selo
Hilo dogo ni tahira mpaka likamuulize mama yake.mmmh, mbna patam apo.. apone haraka kwakweli maana ilo litoto lakiume apo aliwez ata kusimamia mali mjinga mmoja yule
binti ana macho matamu hatari yule Mimi namwita NumbisaNumbisa kahamia bondeni siku hizi?π
ni mpuuz tu na uyo nombuso wake...uyo mxo anawaza tu malavidav akili kwenye biashara hanaaHilo dogo ni tahira mpaka likamuulize mama yake.
Ayanda alikuwa anamuita cheese Boy.
Kazi yake kumtafuta nombuso na kuchezeana kama sio kupigana miti.
Mimi pia mkuu naunga mkono na miguu hoja.binti ana macho matamu hatari yule Mimi namwita Numbisa
Why your jealous Dada ewe..ni mpuuz tu na uyo nombuso wake...uyo mxo anawaza tu malavidav akili kwenye biashara hanaa
uyu nombu nae anajiona kafika sjui kisa kaona sai mxo ndio boss
Dhlomo yule yupo kiold skuli sana... nahisi ndio maana yupo singleπ me kwangu hapanaπ ββοΈ yupo mmoja namngoja ili nimzoom alafu nitamtangaza kbsaWhy your jealous Dada ewe..
Dhlomo yupo singo ujue ππππΎ
Nosipho wangu yupo hapaa.
Sema mkuu utaweza battle na mxolisi? Nombuso kwa huyo jamaa hasikii wala haonibinti ana macho matamu hatari yule Mimi namwita Numbisa
yule dogo mzembe sana mambo mengine ya kiume mpaka mama yake amsukumeSema mkuu utaweza battle na mxolisi? Nombuso kwa huyo jamaa hasikii wala haoni
yule dogo mzembe sana mambo mengine ya kiume mpaka mama yake amsukumeSema mkuu utaweza battle na mxolisi? Nombuso kwa huyo jamaa hasikii wala haoni
anayumba sana ππyule dogo mzembe sana mambo mengine ya kiume mpaka mama yake amsukume