Jagiya
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,206
- 1,828
bhas wewe vumilia tu utawapata wote kwa mpigo...Tatizo la sma ana tamaa sana huyu mwanamke,
Nosi ametuliaaa ila wote vishundu wanavyo, ila sma ana rangi ya mtume hivi.
Nombuso ni mke msikivu hata akinifumania atasema "Pole babe kwa kufumaniwa"..
Jikoshe tu ewe pisi kali siku utakaponasa kwa dhlomo ndio utaona haya hayana mwenyewe, 😁😁😁
Ukimzingua anakuweka selo
hahahah dhlomo.... dhlomoo🤔