Uzalo Special Thread

Richard karuka mkojo kakanyaga mavi.
Huyu nombuso saizi scene zake sitaki hata kuziona ananipa hasira.

Ayanda anaenda zake kusoma theology awe mchungaji.. Jamaa ana akili ila kwa nombuso kawa mshamba huyu demu hamfai malaya mchafu
 
Nimekuja mkuu,,, Malindi amewakonesha hawa matapeli wawili

Japo niliona vipande vipande niliangalia bila utulivu, na ya leo pia nimeikosa mpaka niivizie kesho marudio

AqaNilitaka nijue walijuaje Nbmbuso siyo mbali? Niliona tu Ayanda akijitetea kwamba alichofanya hakina makosa kwa watu walio kwenye mahusiano nikajua Hapa Nombuso ameshaumbuka
 
Ila si waliambiwa walipe fain au lifungo cha miaka 5 mkuu? Sidhani kama wataenda kutumikia kifungo waache kulipa faini
 
lakini jaji alisema hukumu miaka mitano sambamba na faini pia akasema hukumu inaanza kuanzia sasa mtakaa jela..

Imekaaje hiyo?
Waliambiwa Walipe faini ya rand 100000 ama waende jela for five years, na wakaambiwa hawaruhusiwi kuwa na silaha ama kusababisha vurugu vinginevyo jela itakuwa pale pale
 
Richard karuka mkojo kakanyaga mavi.
Huyu nombuso saizi scene zake sitaki hata kuziona ananipa hasira.

Ayanda anaenda zake kusoma theology awe mchungaji.. Jamaa ana akili ila kwa nombuso kawa mshamba huyu demu hamfai malaya mchafu
Mapenzi ndivyo yalivyo
Yanaweza kukudhalilisha sana mpk watu wakashangaa
Hlf siku ukifanikiwa kujinasua unajiuliza hivi ni mimi nilikuwa nashoboka kwa kinyago hichi[emoji23]
 
Mapenzi ndivyo yalivyo
Yanaweza kukudhalilisha sana mpk watu wakashangaa
Hlf siku ukifanikiwa kujinasua unajiuliza hivi ni mimi nilikuwa nashoboka kwa kinyago hichi[emoji23]
Kweli mapenzi ni upofu aseeh ayanda kaamua kuachana na sterehe za kifala anasoma.
 
Richard karuka mkojo kakanyaga mavi.
Huyu nombuso saizi scene zake sitaki hata kuziona ananipa hasira.

Ayanda anaenda zake kusoma theology awe mchungaji.. Jamaa ana akili ila kwa nombuso kawa mshamba huyu demu hamfai malaya mchafu
Sasa umalaya wa nombuso uko wapi? Na kajikuta yupo kati ya watu wawili, haf Ayanda anakimbiza mambo mbiombio
 
Sasa umalaya wa nombuso uko wapi? Na kajikuta yupo kati ya watu wawili, haf Ayanda anakimbiza mambo mbiombio
Kwanini asiwe mkweli na kuchagua mmoja anayempenda? Mkuu mbona kama unaendeshwa na hisia kuliko uhalisia?

Kama hampendi ayanda alitakiwa amwambie bila kuhofia kitu kwani kupenda mtu ni maamuzi wala sio dhambi sambamba na kukataa.!
Angemwambia manzuza kuwa anampenda mxo unadhani ma nzuza angepinga?.

Tuseme ukweli nombu kasababisha haya kwa kuwadekeza wote wawili hampendi ayanda ila ni kama analipa fadhila kitu ambacho ni hatari.
 
Mabuza sio polisi ni jambazi kabisa
Mashaka yetu yametimia.. Jamaa ndio alimshoot xulu kumbe kule alikomuweka anamtesa kinoma..

Kanombuso kameanza kumpanda ayanda na ukute mimba sio ya jamaa..

Mxo kazama kwenye mtego wa sbu anazidi kupotea..
 
😢dah aseh so mk alikua anasingiziwa tu poor him, mabuza sio kabisa aseh.... Nnachotamani kwa nombuso sai ni afe tu hana chamaana anachofanya😡 namchukia..... uyo mxo nae hana akili acha mtoto wa mjini amtoe hao funza kichwani
 
Eeh mk amegeuzwa mbuzi wa kafara, ndio maana mabuza akawa anaskazia mk ahojiwe fasta.. Huyu mabuza ana roho nyeusi hatari.
Xulu kachoka sana kitandan mabuza alimletea msosi halafu akatupa chini sahan ikavunjika,
Xulu anamlilia mabuza hata kuamka hawezi anamtoe hapo. Mabuza anasema " muda wako bado".
Jamaa anataka kuwafilisi kina mxo toto lenyewe jinga..

Nombuso hii dhambi yake ipo siku itammaliza anampelekesha mno mtoto wa mwanamke mwenzie.. Ayanda ana stress muda wote anatetemeshwa analazimishwa kukubali mimba kuwa yake.. Halafu nombu katekwa na watu hawajulikani hata.
 
dah inatia huzuni na hasira kwakweli...
 
Hivi itakuwa nani kamtwka Nombuso
Au Mxo amemteka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…