Maskini mxo dogo kapotea sababu ya upuuzi wake kumsikiliza mastermind. Mwenzie master huko jela ataishi tu sababu ni mtemi sasa mxo dogo mayai mayai sana.. Anaenda kuwa mwali..
Mwanaharamu nombuso amekipata kilichomtoa kanga manyoya [emoji3][emoji3]
Ayanda ameanza kujilaumu wakati mwanajela ndio kahusika hapo.. Afu linombuso limetoa mimacho tu ayanda wa watu analaumiwa..
Nyie ma malindi ni Mafia tapeli phindile na Richard wanadakwa, phindile alikuwa mdogo kama pilton jitu mtumba mabuza lilipofika..
Safi mama ngcobo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1487][emoji1487][emoji123][emoji123]
Jagiya ,
Vera ginger ,
Mtoto wa Baba