Uzalo Special Thread

Mimi sijawahi kumchukia mabuza licha ya mwili wake kukaa kizembe lakini linatumia.akili sana hata uchawa wake ni Wa faida kwa xulu.

Tatizo linapenda kula sana siku hizi simuoni na pipi,
 
Uzalo wanapenda misiba nao, huu msiba wa tatu hapo kwamashu, acha kuhesabu misiba ya wahalifu kama kina sqemeza na wengine ambao misiba yao hawaiwekagi kwenye storyline
 
Uzalo wanapenda misiba nao, huu msiba wa tatu hapo kwamashu, acha kuhesabu misiba ya wahalifu kama kina sqemeza na wengine ambao misiba yao hawaiwekagi kwenye storyline
Wa nne au tano: Sindisiwe, Xulu, Squemeza, Nombuso na sasa Amandla!!!
 
Kwa wataoiyona ya leo jioni ni kwamba yule mama Mkolisi kaenda kubadirisha majibu ya DNA, kwaiyo ngoma ngumu hapo, na pia mastermind anaanza kuwa na bifu mdogo mdogo na Xulu hapo, vipi ndo kwanza movie ndo inaanza😁
 
duh kweli huyu mama ni muuaji...
 
We zetu afrika kusini bwana, toka tumeanza kuangalia uzalo hakuna mtu anaitwa innocent, Rebecca wala frederick
Ni mwendo wa nombuso, nkosinati, dhlomo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka unajielewa kuwa unaangalia tamthilia ya kiafrika,
Kazi ipo bongo, majina yetu ya asili watu washayasahau
 
Halafu sio majina wanayoigizia tu, wasauzi wanatumia majina zaidi ya kiasili kuliko ya kizungu
 
😅😅kweli kabisa huku utaskia Ethan, Purity, Nathan...🤣
 
Huna kaz eeh
 
Mxo amekutana na makaratasi ambayo Numbuso alikuwa nayo siku ambayo alikuwa anataka kumwambia ukweli

Makaratas hayo yanaweza kuwa yale yenye ukweli kuhusu Ayanda na Mxo na wazazi wao wa kweli
 
Mxo amekutana na makaratasi ambayo Numbuso alikuwa nayo siku ambayo alikuwa anataka kumwambia ukweli

Makaratas hayo yanaweza kuwa yale yenye ukweli kuhusu Ayanda na Mxo na wazazi wao wa kweli
Ndo yenyewe,ngoja tusubiri J3 itakuweje, patam hapo.
Naona Mk alipewa kibano na Gxabhashe sasa hv kawa mpole kwelikweli, hsna tena mbwembwe zake zile
 
mama ngcobo muhuni sana kama mumewe,
niliona jana mxo kafungua mkoba wa nombuso kakuta zile paper sijui itakuwaje ?
mshkji wangu mabuza sijamuona sijapenda. 🙂🙂
nadhani mxo anajichimbia kaburi baba yake kaamua kumuacha {japo baba feki]

Jagiya naona mumeo alimpa zweli makavu utakuwa umemfundisha 🙂🙂
na wewe crush wa xulu Vera ginger si bora ukate tamaa tuyajenge maana mama ngcobo kakaba mpaka penalti🙂

nilikuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…