Uzalo Special Thread

Halafu jamaaa kaenda kumkatia kibunda chake na kumtahadharisha achunge asije kushtukiwa,
Ha ha ha ha ha a; Huyu Pastor midevu sjui kama atachukua round huyu
Natamani siku yake ifike
 
Hebu nimegeeni kidogo tangu jumatatu sijapata nafasi kutazama hata kidogo
nipeni data kidogo vipi kuhusu pastor hajaharibu tena?

mastermind bado anaendelea kujivurugia?
ayanda na sibahle hawajanyanduana?

Manzuza na dhlomo nadhani ni swala la muda tu vikojoleo vikutane.

na je sbu dhlomo kampata?
Jagiya Vera ginger , Na wadau wengine
 
Hakuna muendelezo .
ITV wamefanya marudio,mwanzo mwisho!
 
Wamebore sana .Wanasema kwa sababu zilizo juu ya uwezo wao.
Kama episodes zimepotea? Maana hiyo series ina mamia ya episodes, inawezekana ikafika siku ya siku wakagundimua kuna episode ina mis wanaamua kurudia
 
nilipo ikutia...
Mama bandile akiwa chumbani anafanya maombi ghafla anaskia ka mlango unafunguliwa ikabidi atoke na kuangalia,akamkuta mangcobo akiwa anatoka hakiwa ajitambui(sleep walking) akamzuia na kumshika... kwa mshtuko mangcobo anazinduka na kuanza kumshambulia dadae.. ila akatulia..
Kanisani pametokea uvamizi sadaka zimeibiwa😂Dhlomo na mondli wakiwa wanachukua ripoti kutoka kwa pastor nkosi na ayanda bila kuwa na mafanikio..
Mxo akiwa na mangcobo akimshauri kuwa aende hospitali akapatiwe matibabu kuhusiana na iyo sleep walking kwani anahofia jabulile atamsanukia na itakua mambo mbaya ila mangcobo anambishia na kumwambia jambo hilo haliwezekani kwani ata jabulile akimwona katika hali hiyo hawezi sanuka wala kuunganisha matukio.. hivyo akabisha kwenda kupata tiba
Saluni kwa kina gc na sma akiwemo ex wa zweli wakiwa wanamdiskas ayanda ndani ya penz lake jipya na kusema hawaendani na wanasubiri waone kama manzuza atampokea uyo bibie..... yote na yote wakakubaliana kumpambania sma hadi warudiane na ayanda..
shishanyama wakiwa mxo na zweli wakienjoy huku wakiona pisi kali zikiingia apo na kuwaita bila manufaa yeyote wakaanza kujiuliza kuwa wana kilakitu lakini madem wanawapuuzia hivyo wakapanga kufanya party apo shishanyama...
Pastor nkosi akiwa ofisini akiwaza.. kisha akaketi chini na kuanza kutazama PC yake (japo kama kawa itv wanarusha ila inaonyesha kuna mchezo pastor anao wakurekodi video akiwa na pisi kali faragha.... sina uhakika) kisha akafunga na kwenda kuonana na kijana mmoja maeneo ya maficho na kumkabidhi pesa "sadaka zile zilizo ibiwa" kisha akamlipa na kumwambia apotee apo kwa mashu
Usiku mwingine jabulile akiwa sebleni katika maombi kama kawaida, ghafla anamuona mangcobo akitoka tena akiwa katika hali hilehile ya wenge time hii aliona amuache na kufata adi mwisho aone anaelekea wapi.... hatimae wanafika adi ofisini pale walipo mzika nkosinathi na kumwona mangcobo akilala pale chini na kuanza kuzungumza"samahani sana kwa kukuumiza... usilie"bhla! bhla! bhla!
Mwisho. Its Pancho
 
Huyu mama bandile ni mtu wa kusali Sana yaani
Halafu leo nimeona hili toto sibahle linamjibu baba yake dhlomo shit kinoma yaani linaboa Sana..

Nadhani ni swala la muda mambo yatabumbuluka tu.
Safi Sana pisi kali dhlomo atajutia kukuacha
 
Huyu mama bandile ni mtu wa kusali Sana yaani
Halafu leo nimeona hili toto sibahle linamjibu baba yake dhlomo shit kinoma yaani linaboa Sana..

Nadhani ni swala la muda mambo yatabumbuluka tu.
Safi Sana pisi kali dhlomo atajutia kukuacha
😂😂!! yaan kweli uyo sibahle amevuruga pakubwa ayanda anampa kichwa ila anapotea
maombi ya mama bandile leo kwa mdogo wake yamenichosha😂😂
ivii hi couple ya nosi na mondli inaelekea wapi?? au ushakoroga mambo yako 😂😂
Its Pancho
 
Ayanda umalaya haachi naona sasa dhlomo ataanza kummind ayanda.

Yale maombi nimecheka Sana aseeh

You know my things nosi lazima arudi mamlambo kanifanyia Mafekeche 😁
 
Daaah demu wako kapigwa kibuti na mond
Good nimeona jana hapa najipongeza na Safari ya bariidi.

Na huko tena sma kapigwa za uso na ayanda pastor fake.
Pia ayanda kapigwa tena pini kanisani kisa scandle yake na sibahle binafsi nimefurahi Sana.

Mama bandile alipokuwa anaongea na mwanae pale jela ndio most heart touching story ever, nimeumia Sana yaani mama yule nimetokea kumkubali Sana ikiwezekana nimpooze kumoyo 😁

Mxo na zweli wanazidi kujiharibia zweli nadhani atalizwa na lile malaya lilimuwekea dawa jana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…