Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Safi SanaBaadhi ya vipengele nilivyo bahatika kuviona.... .
Ayanda na nkosi wakitunishiana vifua wakiwa ofisini(japo skuelewa
mabishano yale kwan yalikua mwishoni)
Nosi akiwa njian anakutana na mondli na mkewe yule, nosi akimwomba msamaha mondli na kumwambia kua alikua anafanya kumsaidia mondli akasema hana shida... sa huyu mkewe alivyo na kihere anaanza mtambia nosi kuhusu wao kufunga ndoa nosi akampa hongera na kutaka kusepa ila uyu kisansuda bado akawa anamtambia nosi nosi akampush na kusepa
sma bado hamuelewi kakae na kumuuliza kuhusu fenicha zimeenda wapi... ila master akamweleza anajua anachokifanya hivyo akae kwa kutulia
mondli anaingia kwa mangcobo kuleta taarifa kuhusu kesi ya bandile na kusema kua inaweza funguliwa iwapo utapatikana ushahidi mpya jabulile na nosi wakifurahi ila sura za mashaka zikiwajaa mangcobo na mxo
Ayanda akiwa anapata chakula na mpenzi wake ghafla anamuona kijana alieponywa na nkosi😂yule kilema alietembea.. na ayanda kwenda kumuuliza anapata majibu kua hakuwai kuwa kilema.... ayanda anafikisha madai kwenye bodi ya kanisa akiwa karikodi kabisa ila hawakutaka kumwamini na ayanda akasema ntakuja nae athibitishe baadhi ya wanamemba wakakubali kasoro mmoja yule mama ras (simjui jina)
Siku ya ibada kama kawa nkosi na huduma zake za mafuta watu wakitoka mbele kutoa sadaka na kuchukua mafuta ayanda anaingia na kugomba kwa kitendo kile na kusema ni upotoshaji kisha akipiga teke meza ya mafuta na kutunishiana kifua na nkosi ghafla yule jamaa alieponywa uongo anaingizwa na mtoto wa dhlomo....huku nkosi akijawa na wasiwasi
Vera ginger Its Pancho
pamoja sanaa 🤗Safi Sana
Hakika wewe ni wa pekee Sana, kila unayemuuliza update analeta kifupi fupi tu.
Pasaka hii jiandae
Ahsante kipenziBaadhi ya vipengele nilivyo bahatika kuviona.... .
Ayanda na nkosi wakitunishiana vifua wakiwa ofisini(japo skuelewa
mabishano yale kwan yalikua mwishoni)
Nosi akiwa njian anakutana na mondli na mkewe yule, nosi akimwomba msamaha mondli na kumwambia kua alikua anafanya kumsaidia mondli akasema hana shida... sa huyu mkewe alivyo na kihere anaanza mtambia nosi kuhusu wao kufunga ndoa nosi akampa hongera na kutaka kusepa ila uyu kisansuda bado akawa anamtambia nosi nosi akampush na kusepa
sma bado hamuelewi kakae na kumuuliza kuhusu fenicha zimeenda wapi... ila master akamweleza anajua anachokifanya hivyo akae kwa kutulia
mondli anaingia kwa mangcobo kuleta taarifa kuhusu kesi ya bandile na kusema kua inaweza funguliwa iwapo utapatikana ushahidi mpya jabulile na nosi wakifurahi ila sura za mashaka zikiwajaa mangcobo na mxo
Ayanda akiwa anapata chakula na mpenzi wake ghafla anamuona kijana alieponywa na nkosi[emoji23]yule kilema alietembea.. na ayanda kwenda kumuuliza anapata majibu kua hakuwai kuwa kilema.... ayanda anafikisha madai kwenye bodi ya kanisa akiwa karikodi kabisa ila hawakutaka kumwamini na ayanda akasema ntakuja nae athibitishe baadhi ya wanamemba wakakubali kasoro mmoja yule mama ras (simjui jina)
Siku ya ibada kama kawa nkosi na huduma zake za mafuta watu wakitoka mbele kutoa sadaka na kuchukua mafuta ayanda anaingia na kugomba kwa kitendo kile na kusema ni upotoshaji kisha akipiga teke meza ya mafuta na kutunishiana kifua na nkosi ghafla yule jamaa alieponywa uongo anaingizwa na mtoto wa dhlomo....huku nkosi akijawa na wasiwasi
Vera ginger Its Pancho
Pamoja sana dearAhsante kipenzi
Umeelezea vizuri sana itabidi Jumatatu nifatilie muendelezo maana Itv walijua kuturudisha nyumaBaadhi ya vipengele nilivyo bahatika kuviona.... .
Ayanda na nkosi wakitunishiana vifua wakiwa ofisini(japo skuelewa
mabishano yale kwan yalikua mwishoni)
Nosi akiwa njian anakutana na mondli na mkewe yule, nosi akimwomba msamaha mondli na kumwambia kua alikua anafanya kumsaidia mondli akasema hana shida... sa huyu mkewe alivyo na kihere anaanza mtambia nosi kuhusu wao kufunga ndoa nosi akampa hongera na kutaka kusepa ila uyu kisansuda bado akawa anamtambia nosi nosi akampush na kusepa
sma bado hamuelewi kakae na kumuuliza kuhusu fenicha zimeenda wapi... ila master akamweleza anajua anachokifanya hivyo akae kwa kutulia
mondli anaingia kwa mangcobo kuleta taarifa kuhusu kesi ya bandile na kusema kua inaweza funguliwa iwapo utapatikana ushahidi mpya jabulile na nosi wakifurahi ila sura za mashaka zikiwajaa mangcobo na mxo
Ayanda akiwa anapata chakula na mpenzi wake ghafla anamuona kijana alieponywa na nkosi😂yule kilema alietembea.. na ayanda kwenda kumuuliza anapata majibu kua hakuwai kuwa kilema.... ayanda anafikisha madai kwenye bodi ya kanisa akiwa karikodi kabisa ila hawakutaka kumwamini na ayanda akasema ntakuja nae athibitishe baadhi ya wanamemba wakakubali kasoro mmoja yule mama ras (simjui jina)
Siku ya ibada kama kawa nkosi na huduma zake za mafuta watu wakitoka mbele kutoa sadaka na kuchukua mafuta ayanda anaingia na kugomba kwa kitendo kile na kusema ni upotoshaji kisha akipiga teke meza ya mafuta na kutunishiana kifua na nkosi ghafla yule jamaa alieponywa uongo anaingizwa na mtoto wa dhlomo....huku nkosi akijawa na wasiwasi
Vera ginger Its Pancho
🤗.. waliturudisha sanaaa, nilishasahau hadi muda wakuangalia... unaangalia kwa kubahatishaUmeelezea vizuri sana itabidi Jumatatu nifatilie muendelezo maana Itv walijua kuturudisha nyuma
wanamwita GC yule anayefanya kaz salun mwenye dreadlocksYupi huyo mkuu?
Nikakumbuka ile move ya The Big Stan "You are celebrating too early""Ya Jana nimeifurahia Sana😂😂😂 celebration ikawa ovyoooo
Yaan mimi mpaka nikaisahau kabisa mpaka nilivyopita hapa ndio nikajua kuwa inaendelea🤗.. waliturudisha sanaaa, nilishasahau hadi muda wakuangalia... unaangalia kwa kubahatisha
Me pia yaan nadhan ningekuja kukumbuka shuka wakati kumekuchaYaan mimi mpaka nikaisahau kabisa mpaka nilivyopita hapa ndio nikajua kuwa inaendelea
Baadhi ya vipengele nilivyo bahatika kuviona.... .