yeah fatilia maana inazidi kunogayani mi ndo nilisahau kabisa nikasema leo nipitie huu uzi kujua kama tayari kumbe napitwaβ¦.kwanzia kesho na mimi ntaanza tena kufatilia
pamoja sana dearasante kwa maelezo hayaβ¦.umeupiga mwingi
Niliona mondil kashapigwa tukio na baby mama wake daah nyie wanawake πpamoja sana dear
,zweli alitoa Dili kwa yule demu mafia aliyewateka kina shkuba,akasaidiwa kumtafuta demu aliyemuibia ,akampata,vitu vikarudi peacefully kwa usaidiz wa mguu wa kukuWeek iliyopita nimeikosa nimeanza kufatilia Week hii.
Namsikitikia Sana ayanda karudishwa kule kule na kale ka malaya sibahle sijui dhlomo kwanini hakakemei..!
Ninachoona ni kuwa mxolisi muda wa kwenda jela umefika.
Naona wazi ma ngcobo lazima akae na dada yake mxo anaenda..!
Ila kiukweli kabisa gc ni Gay character ila anaigiza Sana huyu jamaa!
Anyway mlioangalia Week iliyopita je zweli alirudisha vipi vitu vya ndani kutoka kwa yule demu?
Jagiya
,mambo ya pensheni ya mama yake aliyefariki kitambo,social fairIv wazee yule baby mama wa mtoto wa mondli huo mpunga aliupiga vp sijaelewa maana naona kaacha tu barua kwamba anaenda kutanua around the world
nashukuru Sana,zweli alitoa Dili kwa yule demu mafia aliyewateka kina shkuba,akasaidiwa kumtafuta demu aliyemuibia ,akampata,vitu vikarudi peacefully kwa usaidiz wa mguu wa kuku
Yes ndo yeyenashukuru Sana
si ni yule dk?
[emoji23][emoji23]Niliona mondil kashapigwa tukio na baby mama wake daah nyie wanawake [emoji16]
Uzuri wale vichwamaji wawili nosi na sma huwa hayajifunzi sma bado anashoboka kwa ayanda sijui hanioni?
πππ nilifurahijeee mondli kupewa za usoo.... nasubiri atakavyojirudi kwa nosi..Niliona mondil kashapigwa tukio na baby mama wake daah nyie wanawake π
Uzuri wale vichwamaji wawili nosi na sma huwa hayajifunzi sma bado anashoboka kwa ayanda sijui hanioni?
Sasa nosi atakuwa wangu daima ππ[emoji23][emoji23]
Ayanda leo karusha ngumi kisa kile kidem chake sibahle kuna muhuni alikuwa anaforceπππ nilifurahijeee mondli kupewa za usoo.... nasubiri atakavyojirudi kwa nosi..
π€π€π€jaribu kusafisha nyota embu maana si kawaidaπ
Mimi pia ningependa kujuaWandugu Habarini za jioni. Naomba kama kuna aliyeangalia Uzalo ya jana Alhamisi aniambie yule mtoto aliyejiua alibakwa na pastor au vipi? Nimeshindwa kukna vizuri leo
Hata mm sijaelewa paleMimi pia ningependa kujua