Uzalo Special Thread

Update ya leo vipi wakuu? Sijafatilia vizuri week hii
 
Mimi sibahle namuona takataka tu sma moyo wangu umekufa kwako rudi kwangu mamy achana na boya ayanda
 
ya leo j3

Sma ashaanza vimbwenga vya mimba akiwa salon kwa GC na ntobi…manzunza kaenda kumtembelea mxo lokapu kamwambia she’s done with him kitanda alichokitandika alalie…ayanda ameenda kwa manglo wakazinguana manglo akamfukuza….smangle ameenda kwa na mlango kuomba ushauri mamlambo kamwambia itabidi amwambie tu ayanda…ayanda na sbanhle wameenda kule ophan center wakakuta barua yule victim ameacha inaelezea kuwa pastor alikua anamfanyia sexual harassment ndo wamekuja kumwambia manzunza ayanda anataka akaseme kwenye baraza la wazee…..IKAISHIA HAPO.


Note: am not good in explanation and kuandika gazeti [emoji4]
 
Safii umejitahidi sana
Kiukweli sma mbishi aliambiwa tangu mapema ayanda ni choo cha stand akajifanya kichwa ngumu..

Hivi imekuwaje mxo kabaki na zweli katoka?
Na vipi lile jamaa nongoloza?
 
Safii umejitahidi sana
Kiukweli sma mbishi aliambiwa tangu mapema ayanda ni choo cha stand akajifanya kichwa ngumu..

Hivi imekuwaje mxo kabaki na zweli katoka?
Na vipi lile jamaa nongoloza?

Mxo kabaki ndani kutokana na past history yake na familia yake (yeye ashawahi fungwa, baba yake yupo jela mama yake alimuua zeks)….na huyo nongoloza amemzika mwanae juu ya mabaki ya baba yao zweli na sma na pia nadhani alikua na ugomvi na baba yake zweli so bado ana bifu na hiyo familia ndo maana hataki kina zweli wahamishe mabaki ya baba yao
 
Umejitahidi kuelezea,
 
Ma nzuza jirani yangu nilitaka nimsalimie naye katoka pia ngoja nirudi zangu shisanyama kwa sis D nikale monde[emoji28]
 
Kwa ufupi kabisa

Zweli na sma wamefanikiwa kumzika baba yao kwa heshima,

Mxo na zweli wamekutwa na hatia so wamehukumiwa 3 years jela,

Kuna kaka amekuja kwamashu akawa anamuulizia mdada kwa kuonyesha picha akaelezwa huyo dada anapokaa

Ayanda anaongea na manzuza kuhusu smangele na ayanda anasema hana namna itabidi amuoe sma sasa muda anaongea hiyo sentensi sbanle ndo anaingia na anamsikia ile ayanda anageuka sbanle anatoka mbio anakimbia

Yule jamaa aliekua anamuulizia mdada anakutana na sbanle anakimbia sba kumuona huyo kaka anashtuka na kugeuza kukimbia yule kaka anamkamata na kumbeba juujuu anamfungia kwenye buti na kutokomea pasipo julikana. IMEISHIA HAPO


(Ila nachoka kuandika ingekua kuna voice note ingekua poa sana[emoji3])
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…