Uzalo Special Thread

Alafu kule kanisani penyewe vimbwenga tu, yani hata sielewi pastor anajifanya mfalme mara kuingia na matarumbeta na wacheza shoo…waumini wenyewe hawaelewi wanashangaa kama mimi[emoji1787]
 
Alafu kule kanisani penyewe vimbwenga tu, yani hata sielewi pastor anajifanya mfalme mara kuingia na matarumbeta na wacheza shoo…waumini wenyewe hawaelewi wanashangaa kama mimi[emoji1787]
Nkosi sasa hivi ni Mtume (Apostle). Kapewa na kiti cha kifalme. Sba inaonekana alifanya uhuni sasa anatafutwa ndo kakamatwa. Tusubiri kesho tuone yatakayotokea. Leo hapakuwa na mambo mengi sana bali ni Utume wa Nkosi, kutekwa kwa Sba, Kesi ya kina Mso na Sweli kupewa hukumu na Mimba ya Sma pamoja na kutimula kwa Lindiwe na Mansuza. Ila sasa ni patamu. Tukutane kesho Kwamashu. Kikubwa ni wale watoto waliocheza kumkaribisha mtume Nkosi; jamani hivi wanajaladia huko nyuma au ndivyo wazulu walivyo?
 
Ila leo nimecheka Sana na mbwembwe za nkosi🤣🤣🤣🤣ana maigizo hatari
 
Ahsante kwa update
 
Kesho sitokosa hakika leo nilipitiws kidogo
Mapema ntakuwepo kwa sis d kabla sijaenda kwa pastor nkosi..

Kwaherini wahuni wangu mxo na zweli huko jela..
 
😂😂 umechelewa amekutana na Amos hukoo
Ujue ya alhamisi na ijumaa jana sijacheki kabisa yaani hivi amos ndo huyo niliskia ni stranger alikuwa anamuulizia sibahle?
Na je walidhulumiana nini au ndo sibahle kalikula hela za muhuni na mbususu kakagoma kutoa nini?
 
Nimeangalia marudio

Kumbe sibahle alikua Malaya muuza mbunye na boss wake ndo huyo jamaa(Amos) aliyemfuata kwamashu baada ya kutoroka Johannesburg

Amos anasema sibahle alikua anatoa Huduma nzuri kwa Wateja wake ndo maana amefuata akaendelee kutoa uroda Wateja wanamuuliziaa [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…