Uzalo Special Thread

Safi sana mchuchu
Nosi ataniua huyu wajameni the
Vipi Dada ake mxo pini au
 
Noma mkuu Ma ngcobo amerithi umafia wa Ghabashe

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Umetisha mkuu....nina kama 3 months sijaangalia ila ulivyoelezea ni kama nimenagalia episodes kupitia maandishi[emoji28]
 
Uzalo Update 18 July na 19 July

Twende pamoja, Ndoa ya GC imeandaliwa na chifu kaalikwa sasa imefika zamu ya bwana harusi na bibi harusi kuonyesha ishara kuwa hawajalazimishwa kuingia kwenye ndoa, ishara yenyewe unaingia unacheza. Bibi harusi kaingia kacheza, sasa ikaja zamu ya GC, akagoma kucheza, akaeleza uwazi wote kuwa hawezi kuozeshwa mtu asiyempenda wataishije? Baba yake alichukia sana alimtia aibu kijijini, baba akamwambia kusanya kila kilicho chako urudi huko kwamashu la sivyo nitakudhuru. Smangele, Mamlambo, na Thobile ndio watu pekee kutoka kwamashu waliomsindikiza GC. Wakakusanya mabegi yao wakarudi kwamashu. Huku kwamashu yule Detective Muovu Qhabanga sasa rasmi karudishwa kazini baada ya ushahidi kukosekana, Jamaa baada tu ya kurudishwa kazini anampelekea mastermind majina ya wateja wa Magari; kumbuka hawa wanashirikiana kuiba magari, wananikumbusha enzi za ofisa Mabuza askari polisi aliyekuwa anashirikiana na Ghabashe kuiba magari. Sasa imefika siku ya NKUNZI kubatizwa mangcobo kagoma kwenda ila Mxo, detecive mpya (Qabhanga) ambaye pia ni mdogo wake nkunzi, mtoto wa nkunzi Zekhetelo, walihudhuria ubatizo huo. Pastor mdletshe ndio alimbatiza. Mxo hakuamini alisema the guy anawadanganya, anataka tu apate freedom arudi mtaani, baada ya ubatizo kesho yake bwana jela anakuja anamwambia nkunzi upo huru uende nyumbani. Huku zekhetelo, mumsy (binti wa nje wa mdletshe pamoja na mastermind wanakutana chisanyama kula maisha, upande wa pili Nkunzi bonge la mtu ametoka Gerezani baada ya kubembelezwa sana na bwana jela atoke gerezani arudi mtaani maana amekuwa raia mwema. hii si ya kukosa next week panapo majaliwa!
 
Wow, ni muda sana sijaingia jukwaani…ila kuona notification za uzalo nimefurahi….kwanzia wabadilishe muda kiukweli sijawahi fatilia tena…ila mkiwa mnapost huku mtakua mnanisaidia sana
 
GC baada ya kukimbia kuoa na kuja mjini alikuwa disowned na wazazi wake na amekuwa mlevi Sana.Rafiki zake kila wanapojaribu kumrekebisha anawaropokea maovu yao akiwa amelewa.Aliingia mpaka kanisani akiwa amelewa na kuanza kutaja maovu ya kila mmoja.Mamlambo katembea na mchungaji na pia alishakuwa na mwanamme muhuni.n.k Rafiki yake ni yule msichana mwizi wa magari pamoja na Zweli.
SBU analipua ATM na kuiba mamilioni ya rand Nkuzi anaingilia kati na kumfuata SBU na bastola,kurudisha pesa zote Polisi.Sasa Nkuzi imekuwa habari ya mjini kila mtu anamsifia kwamba kabadilika jambo ambalo,linamfurahisha Pastor na mkewe,kumshangaza Mangoba na kumchukiza Mxo.Hii inampelekea mkuu wa kituo kumshurutisha sergeant Khumalo kwenda kumuomba Nkuzi msamaha na kumshukuru kwa kuzuia uhalifu.
Zweli anakwenda kanisani kuimba wimbo katika harakati Za kumdate mtoto Wa pastor.kila mtu anamsifia.Hii inampa ukaribu na huyo binti wa pastor na inavyoelekea mtoto kaanza kumuelewa Zwele.
 
uko vizuri dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…