Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

nimeshawahi kutafuta source zingine nikikosa, nikaja kuona kwenye Chanel moja hivi ya SA mwaka juzi but ipo inaendelea mpaka leo
Dah! Itv ka hawakua na uwezo wa kuionyesha bora wangeacha tu.
 
Kila nikicheki uzalo wanarudia vilevile vipande vya mwaka juzi. Inakatisha tamaa. Kama ushoga wa GC ni kinyume cha maadili wangeEdit tu 🤔
Sindio haina ulazima sana kuonyesha
 
nana_ Mafian cartel Kibunango moneytalk Jackal Its Pancho
Wadau Uzalo inaendelea.....
baadhi ya matukio niliyobahatisha kuona ni kua Mangcobo katoroka hospitali na inno anahaha kujiami na bistol kwakua hajui zaama lingine litakalo mpata
Baba wa gc kaja kwamashu na kwenda hospital kumcheki mwanae.... anaanza mlaumu kama kawaida
Mtoto wa mdleche kawa kisu hashikiki kiburi tu..... ni hayo waungwana ukibahatika kuiona leo utaendelea...
 
Muda ni uleule wa wanga? Saa 4:30 marudio alfajiri? 🤔
 
nana_ Mafian cartel Kibunango moneytalk Jackal Its Pancho
Wadau Uzalo inaendelea.....
baadhi ya matukio niliyobahatisha kuona ni kua Mangcobo katoroka hospitali na inno anahaha kujiami na bistol kwakua hajui zaama lingine litakalo mpata
Baba wa gc kaja kwamashu na kwenda hospital kumcheki mwanae.... anaanza mlaumu kama kawaida
Mtoto wa mdleche kawa kisu hashikiki kiburi tu..... ni hayo waungwana ukibahatika kuiona leo utaendelea...
Inamaana wameanza muendelezo
 
Tatizo ni muda... Ila mambo yanadadilika kwa Kasi huko...
Sanaa mambo yamekua motoo naangaliaga kwa kuibia sanaa
Nkunzi karudi kuiba magari, anamlazimisha zweli aibe magari kumi ndani ya wiki moja kitu ambacho ni kigumu.
Huyu khumbulani na sma sijui hi kapo kama kuna mema kweli haswa kwa khumbulani
Mama mchungaji anateseka anakosa kujiamini mbele ya mchepuko wake... kuipotezea kaamua kurudisha majeshi kwa mumewe... kaandaa romantic dinner.....
Hii nimebahatika kuinasa hii.
 
Mimi kwa kweli sijaangalia muda sana mywangu

Hata sielewi naanzia wapi nawategemea nyie nipo na home kikazi unajua tena nadhani nitapata muda tu wajameni nizame hapo kwamashu

Mchepuko wa mama mchungaji upi tena au ndiyo yule jamaa nanii nanii yule mrefu lawyer?
Jagiya
 
Huu uzi ndio umelala milele.

Kuns Mzee jana ameambiwa kuwa mtoto siyo wake.
Sanaa mambo yamekua motoo naangaliaga kwa kuibia sanaa
Nkunzi karudi kuiba magari, anamlazimisha zweli aibe magari kumi ndani ya wiki moja kitu ambacho ni kigumu.
Huyu khumbulani na sma sijui hi kapo kama kuna mema kweli haswa kwa khumbulani
Mama mchungaji anateseka anakosa kujiamini mbele ya mchepuko wake... kuipotezea kaamua kurudisha majeshi kwa mumewe... kaandaa romantic dinner.....
Hii nimebahatika kuinasa hii.
dah bora inaendelea
 
Mimi kwa kweli sijaangalia muda sana mywangu

Hata sielewi naanzia wapi nawategemea nyie nipo na home kikazi unajua tena nadhani nitapata muda tu wajameni nizame hapo kwamashu

Mchepuko wa mama mchungaji upi tena au ndiyo yule jamaa nanii nanii yule mrefu lawyer?
Jagiya
Ndio huyohuyo lawyer, saiv kaamia kwa mashu na mkewe.
 
Back
Top Bottom