Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Kila nikicheki uzalo wanarudia vilevile vipande vya mwaka juzi. Inakatisha tamaa. Kama ushoga wa GC ni kinyume cha maadili wangeEdit tu 🤔Jamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel