Kila nikicheki uzalo wanarudia vilevile vipande vya mwaka juzi. Inakatisha tamaa. Kama ushoga wa GC ni kinyume cha maadili wangeEdit tu 🤔Jamani wanafamilia wa uzalo naona ITV wameamua kututelekeza mazima tunaishije sasa. Hivi hamna namna kweli? nana_ Kibunango moneytalk Its Pancho Jackal afande kifimbo Bani Israel
ngoja nitaisaka kila konaHata sijui pa kuanzia.... Labda kwenye social media zao unaweza kuacha comments juu ya hilo.,
Dah! Itv ka hawakua na uwezo wa kuionyesha bora wangeacha tu.nimeshawahi kutafuta source zingine nikikosa, nikaja kuona kwenye Chanel moja hivi ya SA mwaka juzi but ipo inaendelea mpaka leo
Sawa, mpendwanilikua naangalia itv kwasababu ya uzalo ila sasa hivi siangalii tena,pole dear
Sindio haina ulazima sana kuonyeshaKila nikicheki uzalo wanarudia vilevile vipande vya mwaka juzi. Inakatisha tamaa. Kama ushoga wa GC ni kinyume cha maadili wangeEdit tu 🤔
Tushaachwa jangwan amna kitu
Muda ni uleule wa wanga? Saa 4:30 marudio alfajiri? 🤔nana_ Mafian cartel Kibunango moneytalk Jackal Its Pancho
Wadau Uzalo inaendelea.....
baadhi ya matukio niliyobahatisha kuona ni kua Mangcobo katoroka hospitali na inno anahaha kujiami na bistol kwakua hajui zaama lingine litakalo mpata
Baba wa gc kaja kwamashu na kwenda hospital kumcheki mwanae.... anaanza mlaumu kama kawaida
Mtoto wa mdleche kawa kisu hashikiki kiburi tu..... ni hayo waungwana ukibahatika kuiona leo utaendelea...
Inamaana wameanza muendelezonana_ Mafian cartel Kibunango moneytalk Jackal Its Pancho
Wadau Uzalo inaendelea.....
baadhi ya matukio niliyobahatisha kuona ni kua Mangcobo katoroka hospitali na inno anahaha kujiami na bistol kwakua hajui zaama lingine litakalo mpata
Baba wa gc kaja kwamashu na kwenda hospital kumcheki mwanae.... anaanza mlaumu kama kawaida
Mtoto wa mdleche kawa kisu hashikiki kiburi tu..... ni hayo waungwana ukibahatika kuiona leo utaendelea...
Muda ni huo huo... 22:35 na 05:00Muda ni uleule wa wanga? Saa 4:30 marudio alfajiri? 🤔
Yap!Inamaana wameanza muendelezo
Tatizo ni muda... Ila mambo yanadadilika kwa Kasi huko....
Sanaa mambo yamekua motoo naangaliaga kwa kuibia sanaaTatizo ni muda... Ila mambo yanadadilika kwa Kasi huko...
Mimi kwa kweli sijaangalia muda sana mywanguSanaa mambo yamekua motoo naangaliaga kwa kuibia sanaa
Nkunzi karudi kuiba magari, anamlazimisha zweli aibe magari kumi ndani ya wiki moja kitu ambacho ni kigumu.
Huyu khumbulani na sma sijui hi kapo kama kuna mema kweli haswa kwa khumbulani
Mama mchungaji anateseka anakosa kujiamini mbele ya mchepuko wake... kuipotezea kaamua kurudisha majeshi kwa mumewe... kaandaa romantic dinner.....
Hii nimebahatika kuinasa hii.
Huu uzi ndio umelala milele.
Kuns Mzee jana ameambiwa kuwa mtoto siyo wake.
dah bora inaendeleaSanaa mambo yamekua motoo naangaliaga kwa kuibia sanaa
Nkunzi karudi kuiba magari, anamlazimisha zweli aibe magari kumi ndani ya wiki moja kitu ambacho ni kigumu.
Huyu khumbulani na sma sijui hi kapo kama kuna mema kweli haswa kwa khumbulani
Mama mchungaji anateseka anakosa kujiamini mbele ya mchepuko wake... kuipotezea kaamua kurudisha majeshi kwa mumewe... kaandaa romantic dinner.....
Hii nimebahatika kuinasa hii.
Ndio huyohuyo lawyer, saiv kaamia kwa mashu na mkewe.Mimi kwa kweli sijaangalia muda sana mywangu
Hata sielewi naanzia wapi nawategemea nyie nipo na home kikazi unajua tena nadhani nitapata muda tu wajameni nizame hapo kwamashu
Mchepuko wa mama mchungaji upi tena au ndiyo yule jamaa nanii nanii yule mrefu lawyer?
Jagiya