Uzalo Special Thread

Uzalo Special Thread

Naona Nosipho na Ayanda wamekuwa marafiki sasa na bahati mbaya amepigwa shaba na Mkontho very sad.
 
Mk kabakiza punje tu ya kula wali wa xulu family na mali zote.

Mxo aliskiliza ujinga wa zweli, ona kilichowakuta sasa..
Na tabu wataiona mbona
 
Mk kabakiza punje tu ya kula wali wa xulu family na mali zote.

Mxo aliskiliza ujinga wa zweli, ona kilichowakuta sasa..
Na tabu wataiona mbona
Zweli smart kwa umafia anaujua zaid kuliko mxo
Tatizo mxo anajiona yeye boss hasikiliza mawazo ya kidampa,sasa inamcost
 
Zweli smart kwa umafia anaujua zaid kuliko mxo
Tatizo mxo anajiona yeye boss hasikiliza mawazo ya kidampa,sasa inamcost
kweli lakini shida ya zweli nae ni mkurupukaji. Sometime
Mxo anadhani degree yake inaweza kila kitu kamsikiliza sana sbu na zweli alishamuonya.

Huyu nosi amekuwa malaya anataka kupokonya zweli kwa thobile tena sasa hajifichi bora hata alivyotandikwa risasi.
 
Gabhashe kavaa mzula kaenda hosp kumuona nosipo ,,, nosipo kumwambia mama yake, akamwambia kuwa ni ndoto apotezee,,

Mxo anamwambia ayanda ,,sawa mke ni wake ila anahakika kama mimba ni yake, ayanda anang'aa macho

Nkosi na demu wake wamekuta wapo arosto vibaya mno

MK amewakuta tena mxo na mastermnd wanapanga mishe zako ,, akawanyooshea bastola mbili, ikaishia hapo,
 
leo ITV wamezingua imeanza saa 1 na 40min .
Mk amejuta sana kumshoot nosi,
Xulu karudi mjini nyiee,alienda kumuona nosi na kibaya zaidi aliwapita mkewe kimya.
Nkosi kashakuwa teja, Halafu kwanini mxo hapendi kuona ayanda katulia zake.? Bora hata mk amtandike risasi kama ilivyoonyeshwa kawapoint wote na zweli.

Vera ginger mumeo karudi mjini
 
Dah mk muhun sana kaingia mpaka Store ya unga na sbu ndo kamleta halafu akapigwa roba mpaka kazima 😀😀

Dhlomo yuko karibu lazima mk au Kina zweli wadakwe.
Nkosinathi kaanza kuwa teja.

Ayanda na nosi bado hali tete,
DAH ITV WAMEKATISHAA UZALO MARUDIO
 
Wakuu, yule aliyeenda hospital kumuona nosipho akiwa amefunika uso mbona me nilimuona kama mk? Au nimewachanganya?
 
leo ITV wamezingua imeanza saa 1 na 40min .
Mk amejuta sana kumshoot nosi,
Xulu karudi mjini nyiee,alienda kumuona nosi na kibaya zaidi aliwapita mkewe kimya.
Nkosi kashakuwa teja, Halafu kwanini mxo hapendi kuona ayanda katulia zake.? Bora hata mk amtandike risasi kama ilivyoonyeshwa kawapoint wote na zweli.

Vera ginger mumeo karudi mjini
Anataka ama wakose wote au Ayanda amuache Nombuso thn warudiane
 
Ila yule Nosipho naona kama anamzengea Ayanda, maana anajichekesha na kuchangamka naye sana. Labda ameona hawezi figisu za yule girlfriend wa Zweli na anajaribu kudivert attention ya Ayanda kwa Nombuso.
 
Back
Top Bottom