Jagiya
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,206
- 1,828
Yaan wanaboa sana Nampango wa kulivuruga kisieleweke, kila mtu apite upande wake. . mfyuuu😒Ukiwa kama mama wa kambo wa sibahle unaonaje uhusiano wake na pastor fake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan wanaboa sana Nampango wa kulivuruga kisieleweke, kila mtu apite upande wake. . mfyuuu😒Ukiwa kama mama wa kambo wa sibahle unaonaje uhusiano wake na pastor fake?
[emoji2][emoji2][emoji2]umpoze moyoGood nimeona jana hapa najipongeza na Safari ya bariidi.
Na huko tena sma kapigwa za uso na ayanda pastor fake.
Pia ayanda kapigwa tena pini kanisani kisa scandle yake na sibahle binafsi nimefurahi Sana.
Mama bandile alipokuwa anaongea na mwanae pale jela ndio most heart touching story ever, nimeumia Sana yaani mama yule nimetokea kumkubali Sana ikiwezekana nimpooze kumoyo [emoji16]
Mxo na zweli wanazidi kujiharibia zweli nadhani atalizwa na lile malaya lilimuwekea dawa jana..
Vipi leo uliangalia? Zweli aliibiwa na slay queen yule?Yaan wanaboa sana Nampango wa kulivuruga kisieleweke, kila mtu apite upande wake. . mfyuuu😒
Zweli kasafishwa nyumba nzima ajui afanyeje, akiwa anamuadisia mxo wakiwa shishanyamaVipi leo uliangalia? Zweli aliibiwa na slay queen yule?
Maskini tunakuaga na ushamba wa pesa Sana kama zweli ni mfano mzuriZweli kasafishwa nyumba nzima ajui afanyeje, akiwa anamuadisia mxo wakiwa shishanyama
Jabulile kamwita mamlambo wafanye ibada ya kufukuza nafsi ya zakes... katika ibada mamlambo anaanza prophecies zake mmmh mangcobo akaona apa itakua soo akamtimua
mondli karudiana na mkewe kaachana na nosi ata sim zake apokei
Pastor nkosi anakabidhiana ofisi na ayanda kwa vijembe ghafla thobile anaingia ayanda anamshanga thobile kwenda kwa nkosi.. pastor akaona isiwe tabu wakasepa na thobile na kumuacha ayanda pale ofisini.
Ayanda katika kupapasa macho akaona file la maombi akachukua na kusoma kisha akachomoa karatasi mbili na kuondoka nazo.... baadae akazirudisha na kukutwa na nkosi na kupotezea kua karudisha kadi ya kanisa
Siku ya ibada pastor kama kawaida anaanza maunabii yake anaanza mizengwe kama Mungu anaongea nae na kumpa mafunuo kishaa anaanza sema naonyeshwa anataja jina la mtu na namba ya simu.. holaaa amna mtu mara ya pili tena anataja jina na namba ya simu holaaa... heee kanisa likaanza shangaaa utabiri vipi tena... kumbe ayanda ndio alimfanyia figisu kwenye yale makaratasi nahisi alibadilisha baadae kurudi ofisini ayanda anamuonyesha yale makaratasi na kumtambia (kua dili limesanukiwa)
Kweli kabisa me nilitegemea Zweli ataenda nunua ata nyumba kali na kufungua biashara oiii ndio kwanza anasa kazifungulia inauma sanaMaskini tunakuaga na ushamba wa pesa Sana kama zweli ni mfano mzuri
Halafu vitu ndio vipya kanunua juzi tu.
Ayanda na nkosi watakuja kutoana roho
Jabulile huyu mama nimempenda Sana nadhani ukweli ataujua tu baada ya muda mwanae anateseka pasipo kosa
Yule mbahle mke wa mondil noma Sana kweli waliozaa hawaachani.Kweli kabisa me nilitegemea Zweli ataenda nunua ata nyumba kali na kufungua biashara oiii ndio kwanza anasa kazifungulia inauma sana
Jabulile kweli tumeona uchungu na Mapenzi aliyonayo kama mama kwa mwanae.. huyu sasa ndio mama nimempenda sana, kupambana kwake hapatakua bure...japo mangcobo anatafuta sababu ili amuondoe wakiwa wanadiskas na mxo.. kiukweli sitaki wafanikiwe kwa mpango huu.
Ayanda na nkosi ngoja tuone hii vita yao itaendaje
Akimchoma wataenda wote jelaYule mbahle mke wa mondil noma Sana kweli waliozaa hawaachani.
Nosi nataka awe chizi mbwa huyu.
Zweli nilimuonaga mjanja Sana kumbe boya mbele ya pisi..
Mangcobo nadhani itafikia muda akiamua kumchoma mxo maana mtoto wa dada yake yule kabisa lakini haumii nyie.
Niko tayari kumpooza moyo jabulile mpweke Sana yule. [emoji3][emoji3]
Naskia saivi umeanza kuzeeka na dhlomo [emoji3]
Mbona easy tu si anamuwahi dhlomo na kutengeneza ushahidi feki au hana ujanjaAkimchoma wataenda wote jela
Kumbuka walikuwa wote kwenye tukio na kuzika wamezika wote
Na yeye ndio alimkataza mxo asiende kusema kwa manzuza wala polisi
Yan na mm niliwaza ivo ivo kwamba waliozaa hawaachani, yani ukitaka ujitie stress ingia kwenye mapenzi ya watu waliozaaYule mbahle mke wa mondil noma Sana kweli waliozaa hawaachani.
Nosi nataka awe chizi mbwa huyu.
Zweli nilimuonaga mjanja Sana kumbe boya mbele ya pisi..
Mangcobo nadhani itafikia muda akiamua kumchoma mxo maana mtoto wa dada yake yule kabisa lakini haumii nyie.
Niko tayari kumpooza moyo jabulile mpweke Sana yule. [emoji3][emoji3]
Naskia saivi umeanza kuzeeka na dhlomo [emoji3]
Nosi atulie tu hapo patamshinda mama mtoto mwenyewe huyo mbahle ana mdomo kishenzi yaani na figisu..Yan na mm niliwaza ivo ivo kwamba waliozaa hawaachani, yani ukitaka ujitie stress ingia kwenye mapenzi ya watu waliozaa
Ndio hivyo wanasema "awali ni awali amna awali mbovu" ila naamini ata uyo mbahle anamakucha yake kayaficha hawezi kua mkamilifu wataachana tu.. Mondli atarudi kwa Nosi tu hivyo isijipe moyo saaana😜Yule mbahle mke wa mondil noma Sana kweli waliozaa hawaachani.
Nosi nataka awe chizi mbwa huyu.
Zweli nilimuonaga mjanja Sana kumbe boya mbele ya pisi..
Mangcobo nadhani itafikia muda akiamua kumchoma mxo maana mtoto wa dada yake yule kabisa lakini haumii nyie.
Niko tayari kumpooza moyo jabulile mpweke Sana yule. 😀😀
Naskia saivi umeanza kuzeeka na dhlomo 😀
Hao wote malaya tu mimi siwatakiNdio hivyo wanasema "awali ni awali amna awali mbovu" ila naamini ata uyo mbahle anamakucha yake kayaficha hawezi kua mkamilifu wataachana tu.. Mondli atarudi kwa Nosi tu hivyo isijipe moyo saaana😜
Ngoja tuone hii misukosuko ya familia ya magcobo itaishilia wapi
Shida yako wewe unatafuta waliovunjika moyo nawe unavunjwa moyo 😂😂
Acha tu nizeeke nae sina namna siunajua kiinua mgongo kipo karibu😅😅
😂😂😂 Miguu mineneHao wote malaya tu mimi siwataki
Jabulile kwanza ana miguu minene mpaka raha yaani.
Kwahiyo unachukua mafao ya mzee tule wote 😀
Vipi ya leo umecheki?😂😂😂 Miguu minene
Kuhusu ayo mafao.... mh.. emb ngoja nifikirie😉
walifanya marudio mkuuVipi ya leo umecheki?
Jmn kwann wanatufanyia ivi itv
Wanarudia tuwamefanyaje tena…mi kwanzia hii wiki imeanza sijaangalia kabisa