Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

Naunga hoja, na pia sielewi wazamiaji wote wanakwenda bondeni tu. Maana asilimia 90 naona no SA tu.

Uzi ukichanganya wanautelekeza.

Anyway tusimhukumu kwa makosa ya wengine aendelee tu labda anaweza kuwa tofauti.
 
Uzi kama huu huwa sijishughulishi kusoma
Naenda mpaka mwisho nikikuta itaendelea naachana nao
Refer Kanya na yule mwingine khumbu sijui mpaka uwabembelze
Ifike mahali tuachane na huu ujinga kwa nini msifanye kama Bujibuji au kuna mdau mwingine aliteswa na polisi wa south uzi wake wote umenyooka mwanzo mpaka mwisho hakuna itaendelea.

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
 
hapo ukute siyo watu ni mtu na ID zake
 
Naunga hoja, na pia sielewi wazamiaji wote wanakwenda bondeni tu. Maana asilimia 90 naona no SA tu.

Uzi ukichanganya wanautelekeza.

Anyway tusimhukumu kwa makosa ya wengine aendelee tu labda anaweza kuwa tofauti.
Akiachia njiani namloga[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…