Kondom hazina ubora kabisaaa.mzuka ukipanda yenyewe inapasuka bila sababu...shida tupu.
Aaaaa Tizo bana kwani mnatumia brand gani??
Vizuizi vya Ghafla (Emergency Contraception)
Hii hutumika wakati mwanamke amefanya mapenzi kiholela kupitia kwa uke (vaginal sex) ili kumzuia kupata mimba. Inaweza kutumika pia kama njia za kizuizi zilizokuwa zimetumika hazikufaulu. Hufaa sana kama itachukuliwa kabla ya masaa 72 kutoka wakati wa mapenzi. Huhusisha kunywa dawa mbili za Hormone zikiachana kwa masaa 12. Hizi dawa vidonge hufaa kwa asil asante mzizi mkavv.njia zote nimepa wife azipitie.kisha tutajadili kwa pamoja.
hapo kwenye red unamaanisha nini?1.Hakikisha mke wako anakunywa glass moja ya maji baridi baada ya kusex not only this stage 2. Munaposex ukieleke kuejaculate chomoa na uejaculate nje ya uke wa mkeo 3.tumia kondomu zenye ubora wa hali ya juu 4. Hakikisha unajua ratiba ya mkewako ya heat days 7day siku hizi hakikisha unakuwa bize msikutane kimwili 5. Dawa ningekushari ukihitaji niambie
Njia salama kabisa ni kalenda
Ukiwa na Mtoto Mmoja sio mara zote ni kufuata Uzazi wa Mpango..kama hivyo ndivyo, wale ambao hawajazaa kabisa watastahili kuingia katika kundi la wanaofuta uzazi huo wa mpango kwa kuamua kuto zaa kabisa...
Pengine wataalamu wa Uzazi wanaweza kuhoji,ni kigezo gani kilitumika kwa kumwingiza Mwana muziki wa injili kama Flora Mbasha mwanye mtoto mmoja kwenye Tangazo la kuhamasisha Uzazi wa Mpango la Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii??
Yawezekana familia inaweze kuzaa mtoto mmoja tu kutokana na tatizo la uzazi na sio mipango ya uzazi...hili linatakiwa liangaliwe kwa makini..
Ukiwa na Mtoto Mmoja sio mara zote ni kufuata Uzazi wa Mpango..kama hivyo ndivyo, wale ambao hawajazaa kabisa watastahili kuingia katika kundi la wanaofuta uzazi huo wa mpango kwa kuamua kuto zaa kabisa...
Pengine wataalamu wa Uzazi wanaweza kuhoji,ni kigezo gani kilitumika kwa kumwingiza Mwana muziki wa injili kama Flora Mbasha mwenye mtoto mmoja kwenye Tangazo la kuhamasisha Uzazi wa Mpango la Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii??
Yawezekana kabisa familia ikawa na mtoto mmoja kutokana na tatizo la uzazi na sio mipango ya uzazi...hili linatakiwa liangaliwe kwa makini..
Tunafanya uzazi wa Mpango ili iweje? wengine wanasema ni kupunguza mzigo wa familia kwa wazazi..Hivi inakuwaje Mzee Yusufu nae anaingia uhamashishaji wa uzazi wa Mpango akiwa na wake watatu na watoto wawili wawili kila mke??. Huyu anatofautianaje na mwanaume mwenye Mke mmoja lakini akazaa watoto saba waliopishana mwaka mmoja??.
jipange upya umekurupuka kwe2 tupo wanne tumepishana ratio miaka 3 .shangaz yangu anamtoto 1 nahc walpta matatzo katika ndoa yao.bro wangu ana watoto wawil ke 7yr na me 2yr kasema kashaweka password
Kiongozi upo makini. Kule China, kuongezeka kwa watu kulipelekea kuanza kwa "Family Planning" ambapo raia walilalimishwa kuzaa mtoto mmoja au bahati mbaya ikitokea wawili. Lakini nia ilikuwa kupunguza idadi ya watu ili iendane na mazingira mengine ya kijamii na kiuchumi ya nchi hiyo...Ukiwa na watoto kumi na wake kumi ambapo kila mmoja amezaa mtoto mmoja, Je, unaweza kujigamba kuwa unatekeleza uzazi wa Mpango?? Je, hesabu inafanyika kwa mke mmoja tu au wote uliowaoa?? Mzee Yusuf kwa kesi hii kama ana wake watatu na kila mmoja akiwa na mtoto mmoja bado hawezi kukwepa tatizo la malezi ya familia kubwa (wake na watoto pamoja na ndugu wanaomzunguka). Mtu kama huyu hawezi kujivuna kuwa anafuata uzazi wa mpango ukilinganisha na mimi mwenye watoto watano kwa mfano.
Wengine walizaa mmoja sio kwa kupenda bali ni tatizo la kimaisha...