ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,752
njia gani ya kienyeji!!!!!na njia hiyo ni kwa ajili ya nini
Ndio imeshatokea hivyo, inabidi mkubali hali halisi.
Leeni mimba na dogo ale vizuri maisha yaendelee. Sidhani kama kuna madhara yoyote yale zaidi ya kuangalia afya ya mama iwapo mara ya mwisho alijifungua kwa operesheni.
Habarini za asubuhi waungwana,.
Kwanza napenda kuwapa pole na shughuli na mihangaiko ya siku, naomba msaada wa ushauri nipo katika wakati mgumu sana. Mke wangu amejifungua mtoto mwaka jana mwezi wa sita, sasa hv mtoto wetu huyu wa pili ana mwaka mmoja na miezi 2.
Kwa kipindi chote tangu alipojifungua tumekuwa tukitumia njia ya uzazi wa mpango kwa kutumia vidonge vya majira, sasa mwezi wa saba mwaka huu tulishauriana abadili njia nyingine kutokana na hali aliyokuwa anajisikia iliyokuwa inasababishwa na vidonge. Tuliamua kutumia njia ya sindano, alikwenda hospitali ya Wilaya wakampa hiyo huduma. sasa mwezi huo wa saba umepita bila kuona siku zake.Jana baada ya kuona muda umepita sana akaamua kwenda kupima ujauzito, majibu yakawa yupo Positive. sasa naomba ushauri wenu ikiachwa hii haiwezi kuwa na madhara kwa mtoto ambaye bado ananyonya? Msada nini kifanyike.
njia gani ya kienyeji!!!!!na njia hiyo ni kwa ajili ya nini
Ndio imeshatokea hivyo, inabidi mkubali hali halisi.
Leeni mimba na dogo ale vizuri maisha yaendelee. Sidhani kama kuna madhara yoyote yale zaidi ya kuangalia afya ya mama iwapo mara ya mwisho alijifungua kwa operesheni.
Baada ya game, mdada anywe maji ya baridi lita moja then anawe vizuri kunako bibi.
Njia ya kuzuia mimba.
Baada ya game, mdada anywe maji ya baridi lita moja then anawe vizuri kunako bibi.
Njia ya kuzuia mimba.
Miezi mitatu.Mi wasiwasi wangu ni madhara ambayo hiyo mimba aliyonayo inaweza pata kutokana na sumu ya hiyo sindano aliyokwishachoma. Kwani ni sindano ya kuzuia Kwa muda gani alichoma.