Njia nzuri zaidi kwako wewe ila kwake bado si nzuri. Hamjakubaliana ila unalazimisha.sio rahisi kama unavyofikiria.... na kwanin kujiangaisha hivyo wakati kuna njia nzuri zaidi
First ni muhimu ujitambue wewe binafsi vp mzigo ulionao unakutosha?na unaweza kuwatunza vyema na hapo ndo unachukua uamuzi.
Second unamshirikisha mwenzio kuhusu wote kufunga uzazi sababu ni ngumu kumwambia mmoja funga wakati wewe bado risasi ziko ok,kama mnafunga fungeni wote,mimi niliamua na tukafanya maamuzi na wote tumefunga na hakuna tatizo.
Njia za kihomoni inabidi uonane na wataalam wa afya.
Njia za kawaida ni
Kalenda ambayo utaamua kama katika zile siku zinazoitwa za hatari kwa wasiotaka watoto mchague
1. Kutofanya
2. Kutumia kondomu
3. Kumwaga nje.
Pia kuna njia za asili ambazo ni za kiimani hizi hutofautiana kutokana na jamii tunazotoka. Unaweza kuuliza kwenu.
Zijue siku za mkeo ili mtumie kondom
Habari za leo wakubwa. Hivi vidonge vya uzazi wa mpango vinatumikaje? je kwamfano umefanya mapenzi na mwanamke alafu nisiku za kupata mimba ukawahi kumpa vidonge vya uzazi wampango je vitasaidia kuzuia mimba au havitasaidia. Msaada wakuu
kwanini ufanye mapenzi siku za kupata mimba bila kutumia kondom, na je kama pia ilikuwa ni siku ya kuukwaa ukimwi?Habari za leo wakubwa. Hivi vidonge vya uzazi wa mpango vinatumikaje? je kwamfano umefanya mapenzi na mwanamke alafu nisiku za kupata mimba ukawahi kumpa vidonge vya uzazi wampango je vitasaidia kuzuia mimba au havitasaidia. Msaada wakuu
Hebu nifafanulie vizuri kuhusiana na hiyo njia ya kalenda, inakujaje??Njia za kihomoni inabidi uonane na wataalam wa afya.
Njia za kawaida ni
Kalenda ambayo utaamua kama katika zile siku zinazoitwa za hatari kwa wasiotaka watoto mchague
1. Kutofanya
2. Kutumia kondomu
3. Kumwaga nje.
Pia kuna njia za asili ambazo ni za kiimani hizi hutofautiana kutokana na jamii tunazotoka. Unaweza kuuliza kwenu.
[ :: Verbose Information :: ]
[ Cookie Information ]
Cookie Used: IDstack
Raw Data: ,168231,
Clean Data: 168231
[ Capture Information ]
Caught by: Cookie
[ Verbose Messages ]
[ Dev Information ]
Verbose Message Bitfields: 0