Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

sio rahisi kama unavyofikiria.... na kwanin kujiangaisha hivyo wakati kuna njia nzuri zaidi
Njia nzuri zaidi kwako wewe ila kwake bado si nzuri. Hamjakubaliana ila unalazimisha.
Kama unaona ni nzuri basi kubali wewe kufunga.
 
First ni muhimu ujitambue wewe binafsi vp mzigo ulionao unakutosha?na unaweza kuwatunza vyema na hapo ndo unachukua uamuzi.

Second unamshirikisha mwenzio kuhusu wote kufunga uzazi sababu ni ngumu kumwambia mmoja funga wakati wewe bado risasi ziko ok,kama mnafunga fungeni wote,mimi niliamua na tukafanya maamuzi na wote tumefunga na hakuna tatizo.

Hayo ndio maamuzi.
 
Natafuta njia sahihi ya kupanga uzazi Mimi na mke wangu ambayo haitakua na madhara kwa wote.
Tafadhali kama kuna anaejua aniambie na kunifafanulia kidogo faida na hasara.
 
Njia za kihomoni inabidi uonane na wataalam wa afya.
Njia za kawaida ni
Kalenda ambayo utaamua kama katika zile siku zinazoitwa za hatari kwa wasiotaka watoto mchague
1. Kutofanya
2. Kutumia kondomu
3. Kumwaga nje.

Pia kuna njia za asili ambazo ni za kiimani hizi hutofautiana kutokana na jamii tunazotoka. Unaweza kuuliza kwenu.
 
Kalenda inakuaje?
 
Habari za leo wakubwa. Hivi vidonge vya uzazi wa mpango vinatumikaje? je kwamfano umefanya mapenzi na mwanamke alafu nisiku za kupata mimba ukawahi kumpa vidonge vya uzazi wampango je vitasaidia kuzuia mimba au havitasaidia. Msaada wakuu
 
Kuna vidonge vinauzwa sh 7,000/- anatakiwa ameze ndani ya masaa 48 au pungufu zaidi.
 
Habari za leo wakubwa. Hivi vidonge vya uzazi wa mpango vinatumikaje? je kwamfano umefanya mapenzi na mwanamke alafu nisiku za kupata mimba ukawahi kumpa vidonge vya uzazi wampango je vitasaidia kuzuia mimba au havitasaidia. Msaada wakuu

Mkuu pole! Wanafunzi hatari sana
 
Habari za leo wakubwa. Hivi vidonge vya uzazi wa mpango vinatumikaje? je kwamfano umefanya mapenzi na mwanamke alafu nisiku za kupata mimba ukawahi kumpa vidonge vya uzazi wampango je vitasaidia kuzuia mimba au havitasaidia. Msaada wakuu
kwanini ufanye mapenzi siku za kupata mimba bila kutumia kondom, na je kama pia ilikuwa ni siku ya kuukwaa ukimwi?
 
Njia za kihomoni inabidi uonane na wataalam wa afya.
Njia za kawaida ni
Kalenda ambayo utaamua kama katika zile siku zinazoitwa za hatari kwa wasiotaka watoto mchague
1. Kutofanya
2. Kutumia kondomu
3. Kumwaga nje.

Pia kuna njia za asili ambazo ni za kiimani hizi hutofautiana kutokana na jamii tunazotoka. Unaweza kuuliza kwenu.
Hebu nifafanulie vizuri kuhusiana na hiyo njia ya kalenda, inakujaje??
 
Multiple login detected from Uzazi wa Mpango.

Other recognized logins for this user are:

  1. mamaa kash

Code:
[ :: Verbose Information :: ]

[ Cookie Information ]

Cookie Used: IDstack
Raw Data: ,168231,
Clean Data: 168231

[ Capture Information ]

Caught by: Cookie

[ Verbose Messages ]

[ Dev Information ]

Verbose Message Bitfields: 0
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna njia ipi naweza kuitumia kumpa ujauzito msichana aliechomwa sindano ya uzazi akiwa bado hajamaliza muda wa sindano.

Nahitaji msaada wa kitaalam.
 
Sijakuelewa vizuri, ni sindano za kuzuia mimba au.? Mimi sio mtalaamu lakini ninachojua hizi ukipigwa sindano kama ni za kuzuia mimba, basi hapo kumpa mimba inakuwa shughuli. Maana kazi kubwa ya hizi sindano ni kuzuia yai la kike lisitokee, hivyo, mpaka umpatie msichana mimba ni mpaka ovaries zake ziwe zimeshuka kwenye mfuko wa uzazi na zikikutana na mbegu za kiume ndo mtoto anatungwa.
 
Sa wewe Mmanu kwa nini unataka kumpa msichana mimba bana. Mimba wanapewa wanawake tena walio kwenye ndoa. Acha uharibifu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom