Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

kama anaregular period tumia calendar+condom, zinatosha sana!
kama hana regular period, ni condom na kuomba mungu tu

the rest kila moja ina shida yake
 
Tumia kondomu au kojolea nje, au tumia njia nyingine za sex kama oral n.k.
 
pata watoto bwana umri wa kuishi mdogo:unaweza pata wakina bashite,jpm,wemasepetu wa kesho
 
Funga nae ndoa muoe acha kufanya uzinzi Mungu apendi na ndomana yanampata ayo yote...
 
Wamama wengi wanadanganywa sana juu ya madhala ya haya madubwasha badala yake hawaambiwi ukweli.

Hakuna njia salama zaidi ya njia ile waliotumia mabibi zetu[Kalenda]
 
Hajaanza mtoto hata mmoja unamshauri atumie hayo mambo jaman

Condom,withdrawal na calendar tu ndo havivurugi mzunguko na havikupi changamoto pale unapohitaji kupata mtoto
 
Mwambie aachane na huo upuuzi wa uzazi wa mpango..ni very risk
 
Hivi mnashindwaje kutumia kalenda? Njia salama ya uzazi wa mpango ni kalenda pekee yake
 
Hakuna njia bora kama kalenda,,kama ana regular period we tumia kalenda mkuu ,,kama hujui kuhesabu niambie
 
Mkuu;
Sex haikuwekwa kwa ajili ya starehe. Alisema; Zaeni mkaongezeke. Hakusema, pandaneni kila saa bila mpango. Ndo maana wanawake wengi huja kulia kwa sababu ya laana wanayoifanya kila siku.
Anaingia chooni anasikia sauti zikimwita mamaaa wala hamuoni mtu kumbe ni mimba alizo haribu. Namkumbuka rafiki yangu mmoja alikuwa anatumia madawa hayo, siku alipokuja mtafuta mtoto kama alimpata tena.
Zaeni kwanza hata katoto kamoja mtakako katuma dukani nyie. Piga hesabu; Una umri wa miaka 24 naye labda 22. Mkimpata mtoto leo, miaka 20 ijayo wewe ukiwa 44 naye akiwa 40, mtoto wenu amemaliza chuo kikuu. Mnaweza kumsaidia aanze maisha mazuri.
Mnataka mje kupata mtoto miaka 30 kwa 34. Hapo kuna kumsaidia huyo mtoto kweli?? Zaeni acheni uasherati wenu
 
Imetokea huko nchini marekani baada ya mwanamke mmoja aliyekuwa akitumia njia ya uzazi wa mpango ya kitanzi kupata ujauzito na kujifungua mtoto mwanamume kwa njia ya kawaida huku akiwa ameshikilia kitanzi hicho [Intrauterine device(IUD)] mkono wake wa kuume.



Takwimu (kutoka, Mtandao wa Planned Parenthood)
Tafiti zinaonyesha uwezekano wa kuzuiya mimba kwa njia ya kitanzi ni wa hali ya juu kabisa(99%).

Chanzo cha Habari
The Sun
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2017-05-05 at 03.18.49.jpeg
    15.7 KB · Views: 69
  • IUD.jpg
    5.2 KB · Views: 54
Hizi njia za uzazi wa mpango nazichukia maisha yote...
 
"Njia za uzazi wa mpango;Chukizo mbele ya Muumba"

Angelikuwa analichukia asingeruhusu jambo hilo kutokea(kuanzishwa kwa uzazi wa mpango)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…