iloveguinness
Senior Member
- Oct 31, 2010
- 176
- 90
Ni kweli ndio maana ni vizuri kumwona gyno for check up incase if you have any irregularities and then for advice. Nakumbuka enzi sindano za depo provera zinatua bongo wasichana wengi walizivamia kwasababu ilipromise 4 periods a year. Duh wengi wali suffer bleed kupotea kabisa na kuwa ngumu kushika mimba hata walipo acha matumizi. Dawa zingine zina sababisha early menopause na hata cancer especially ukiwa 35 yrs and above.mh,inamaana mkuu there is no method that can be suitable to all?