Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mnashindwaje kutumia kalenda? Njia salama ya uzazi wa mpango ni kalenda pekee yakeUpi uzazi wa mpango uliosalama wadau!
Kutokana na ugumu wa maisha! Nilimshauri mwanamke wangu atumie uzazi wa mpango ili angalau asizae mapema.
Lakini kila uzazi wa mpango anaojaribu kutumia naona unamletea majanga tu.
Kwanza alianza Kwa kutumia sindano! Sindano ikawa inamfanya "K" inajaa Maji yaani ukifanya naye mimaji mtupu;
Tukabadili angalau atumie kijiti " pandikizi" lakini nacho kilisababisha apatwe na irregular period! Yaan period haieleweki,
Ikabidi tujaribu kutumia vidonge! Sasa vidonge ndo vimemkata network ya hisia hana kabisaaaa! Yaani hana hamu kabisa! Sasa tufanyeje?
Tumejaribu kumwona daktari akasema njia zote ni salama hazina matatizo!
Swali!
Wakwenu huwa wanatumia njia gani? Naombeni ufafanuzi tafadhali!